Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa iyo Kenya na USA mko at the same level
 
Majengo yapo muda Mrefu sana tofauti na hayo mapya tangu 2005
 
Halafu utawasikia wengine akina Annael MOTOCHINI etc ambao hawaelewi architecture wakisema majengo ya Nairobi hayana mvuto. Yaani tangu wajengewe TPA na PSPF wakaona majengo ya vioo kwa mara ya Kwanza wanaona ujenzi ni vioo.
Acha kutuwaza kijana....punguza mawazo ya kipuuz
 
Halafu utawasikia wengine akina Annael MOTOCHINI etc ambao hawaelewi architecture wakisema majengo ya Nairobi hayana mvuto. Yaani tangu wajengewe TPA na PSPF wakaona majengo ya vioo kwa mara ya Kwanza wanaona ujenzi ni vioo.

Ficha ushamba wako
Dar hakuna majengo hayo pekee
yapo mengi yenye vioo ispokuwa hayakuwa marefu kama hayo uliyo mention

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…