Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

southern bypass

11930871_1052910498076724_710145057_n.jpg
 
You never fool me bro.
This here is Kibera Feb 2016
Kibera, The largest urban slum in Afric
Kibera is the largest slum in Nairobi, Kenya, and the largest urban slum in Africa. In 2009 Kenya Population and Housing Census reports Kibera's population as 170,070, contrary to previous estimates of one or two million people
View attachment 339226
Yea that is kibra but there is massive upgrading and the flats u see there are built by the gava so in five years all kibra will be modern houses.
 
Kila MTU humu anakufahamu wewe ni kitoto kinacho kurupuka
Unajifanya mjuaji sana

Nairaland nani hayupo kule!!!

Wacha Unafiki
Tukuletee wanavyo waponda Wakenya kule!?


Lingine kwanini unasifia forum za wenzenu Kenya hakuna forums!!?

Kuna nipate Kenya mbona huizungumzii hahaha
Wacha kudandia forums za wenzuni

Kati yako na yeye weye ndio una hoja za kitoto kishenz!....ova!
 
Wee Mpuuzi unajua huwa sikuelewi kabisa kama nchi iko mbali kimaendeleo sawa sasa mbona unakua kama Malaya unatafta sifa za kijinga jinga kwa kulinganisha Jeshi la nchi na lenu Mara miradi n.k Fanya maendeleo yako na ya nchi yako ya Kenya Tanzania yetu inakuhusu kiukweli wee Fara Kila nikiona posts zako humu JF nachukia Sana, Acha mambo ya kijinga post vitu vya maana usiwe kama mwanamke just behave as a man even in a single minute, at least that one give you a respect.

Tetehehehhe!...........Tulia sindano ikuingie!

Kelb wahed!
 
Wee kwenye Profile eti Ni mwanajeshi sijui na PIA avatar yako inaonesha you're a soldier. What kind of a soldier anaandika upumbafu na ujinga WA kipinzani na nchi jirani kwenye social networks ya nn Hii kwa Wanajeshi WA Tanzania hawawezi kufanya mambo kama haya Wako na kuangalia ulinzi na usalama WA nchi Yao na ndo maana tuna amani na tunapendana watanzania. Ukabila na utengano wenu na ujinga wenu ndo unaleta na humu Unataka ushindani na nani kwa lipi sasa? Na hili iweje .
Stop posting absurd posts

Wacha kulialia na kujamba jamba!....huwaoni watanzania wenzako wakishindana humu?.....kelb wahed!
 
Nasubiri wakenya waishiwe kuweka orodha ya miradi yao na sisi tuanze kuweka ya kwetu,iliyokamilika,iliyoanza na inayotarajiwa kuanza.najua tunayo mingi.tutaweka tu hats kama hawataki mana hakuna namna.

Kimweri Geza Ulole
Hivi ule mradi wa mji wa kisasa kigamboni na Kawe bado upo kwenye utekelezaji au umekufa..Dar na miji mingine hapa Tz hasa Mwanza,Mbeya na Arusha wakiupanga upya kama alivyotangaza Lukuvi kufanya mji wa Dar kuwa na new look hapo ndo nitapongeza sana.Hiyo mikoa ina miji mikuubwa lakini imekaa kienyeji sana.Nairobi niliona humu wameanza kuondoa makazi holela...nasi hawa nssf,pspf,nhc n.k wangenza kujenga majumba ya ghorofa mazuri ya watu kupanga ili kuondokana na hizi nyumba za uswazi na mji utapendeza sana zaidi ya Nairobi.
 
Well,Kenya wamejaribu,sisi tuanthubutu kufanya kile tunachokifanya na kinaonekana kwa macho,miradi yote hiyo ambayoo imeonekana katika picha na mingine kupambwa kwa maneno ni miradi ya kwenye makaratasi kwa maana ya kwamba haipo na mingin bado hata haijazinduliwa au hata kujadiliwa bungeni,kwa ufupi tu embu chukua muda kutazama hii miradi mikubwa ya Tanzania ambayo imeshajadiliwa na hatua za awali zimeanza kutekelezwa kwa ufanisi mkubwa.tena na inasemekanika mara bada ya kumalizika kwa hii miradi TANZANIA itakuwa 1Kitovu cha utalii Afika mashariki,2 Kimbilio la wafanyabiashara kutoka Duniani,3 itaboresha maisha ya Mtanzania kwa ujumla,VIVA TANZANIA....!!! tazama hizi hapa video ujionee miradi ya tanzania mabyo huijui na amabyo iko katika hatua za utekelezaji

 
Kina dada sio wanadamu eeh?....kina dada wengi tu! ni vichwa zaidi ya weye na ukoo wako nzima....akili za karne ya kwanza.......kelb wahed!
Ushapaniki tayari.twende tartiibu bidada nataka nifanye nusra sijauliza kwa ubayaa.
 
Hapa sitalinganisha maana mumelialia sana na kulalamika, wakati mlianzisha wenyewe.

hapa naorodhesha miradi inayoendelea Kenya na hata iliyopangiwa.

Hii hapa barabara ya Outer Ring ambayo tayari ujenzi umeanza tena unakwenda kwa kasi

outer+px.jpg


images


7fd2d15324a00bd50e5e9fe0eb46b19d33b6bdf9d15364d84686c94f6964cca1


1216210.jpg


22688334581_637b5e63a7_b.jpg

I'm happy to see more roads being built with cyclists lane adding to the current ones.
nairobi-example-michaelnjongekura-11-638.jpg
hEKbesu.jpg
14814941413_22a879bae4_b.jpg
123.jpg
CONSTANT_CAP_28_03_2014b.jpg
 
I'm happy to see more roads being built with cyclists lane adding to the current ones.
View attachment 339680 View attachment 339682 View attachment 339683 View attachment 339684 View attachment 339685
Mbuzi na wajinga Sana nyie Just Unite Together to fight for the peace of your nation sio Kuja humu na kutamba miradi huku raia wenu wanaishi bila amani nchini au mnafurahi vile wenzenu wanashambulia na magaidi mi inaniuma Sana kuona watu wanakufa vile na nyie mapimbi wakubwa mnakuja na kutamba ovyo ovyo kukosoa Jeshi la nchi yetu . Go to hell nyie foxes wote.
 
Mbuzi na wajinga Sana nyie Just Unite Together to fight for the peace of your nation sio Kuja humu na kutamba miradi huku raia wenu wanaishi bila amani nchini au mnafurahi vile wenzenu wanashambulia na magaidi mi inaniuma Sana kuona watu wanakufa vile na nyie mapimbi wakubwa mnakuja na kutamba ovyo ovyo kukosoa Jeshi la nchi yetu . Go to hell nyie foxes wote.

Its been over 1 year since terrorist took a single life of a Kenyan. What are you talking about. If you don't see this kind of development in your country, follow this prescription:
Mwenye wivu, ajinyonge.
 
Back
Top Bottom