Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Kibera ina haribu picha ya bara letu la Africa. Na njaa za watu wa Turkana zina iaibisha Africa nzima. Kwanini msiwe na miradi yenye tija kuliko miradi ya sifa za ajabu ajabu huku watu wenu wanakufa na njaa na uchafu wa kibera.sasa upewe mpango mzima ndio nini ifanyike? kwani wewe nani? wewe shinda hapo kwa kibera sisis tukisonga mbele. na kibera pia ikikunice sana hama TZ ukaishi huko. wacha kutunyambia hapa. blalikumbaf shenzitype.