The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Siko wizara ya ujenzi,ila Niko kwenye industry ya ujenzi.Yaani Wizara yako ya UJENZI imepewa Budget ya 55% lkn unasema hadi sasa mmetekeleza 60%
Naanza kupata wasiwasi nawewe unahusika kwenye upigaji au unaimba story za Makaratasi.
Kila mradi wa serikali huwa inachelewa na gharama.lazima ziongezeke kwa sababu za riba.
duh nanitena
Anapenda cartoons huyo nahisi alikuwa hakosi nakala ya Sani.Huu ndio mradi au? Utakalia makatuni hayo hayo hadi upauke
Kila mtu anaamua cha kuona usipangie watu ebo😂😂Watu kama wewe China wanapunguzwa ili kelele zisiwe nyingi. Hakuna jema mnaloliona
Sasa kama Serikali ikichelewa kulipa si ndio wanadai riba mda wa mradi ukiisha..Sio Kweli, gharama zinaongezeka kwa mradi kuchelewa kumalizika Kwa Muda uliopangwa kama wakandarasi hawalipwi fedha zao kufuatana na mkataba!! At the sama time serikali haiwaadhibu contractors ambao hawamalizi miradi kufuatana na mikataba hivyo gharama kuongezeka!!!
Kipofu siyo lazima uwe umetoboka macho!!!Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa wakati .
Lakini pia nimpongeze Mhe. Rais Kwa kupata fedha za mwendokasi awamu ya sita. Natamani kuona barabara inayotoka mjini kwenda airpot to Chanika inapewa kipaombele Kwa Sasa Kwa Sasa itasaidia kisarawe kupanuka, itasaidia kufungua milango ya biashara ukanda huo na kukuza Pato la mwananchi na Taifa
Daktari wa Kemia angalitufikisha hadi 2025, basi miradi mikubwa ingaliweza kukamilika, ijapokuwa deni la taifa labda lingalifika hafi 150Tn huku tukiaminishwa kuwa bado ni himilivu.Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa wakati .
Lakini pia nimpongeze Mhe. Rais Kwa kupata fedha za mwendokasi awamu ya sita. Natamani kuona barabara inayotoka mjini kwenda airpot to Chanika inapewa kipaombele Kwa Sasa Kwa Sasa itasaidia kisarawe kupanuka, itasaidia kufungua milango ya biashara ukanda huo na kukuza Pato la mwananchi na Taifa