Miradi Mikubwa Inayotekelezwa na Awamu ya 6 Mkoani Kigoma

Una uhakika? Hizo video zilipigwa sayari ya Mars? Chuki huleta ugonjwa wa akili
RC Alitoa Clip Eti Zimebaki Kilometers 50
Sasa Jamaa Yangu Kaenda Kigoma Anasema Wanasiasa Waongo Hakuna Lolote
 
RC Alitoa Clip Eti Zimebaki Kilometers 50
Sasa Jamaa Yangu Kaenda Kigoma Anasema Wanasiasa Waongo Hakuna Lolote
Yeye alikuta zimebakia km ngapi? Na in fact ni chini ya km 50 kutoka Tabora-Kigoma(Malagarasi-Ilunde).
 

View: https://youtu.be/JVJoeRHDoAE?si=3R4uMkU-H1_BBzAl
 

View: https://www.instagram.com/p/C2UYx9_tBnI/?igsh=Zmd4M3pzaXg0OWN3
 

View: https://www.instagram.com/p/C2cXZazCgwD/?igsh=azFkNnMweWQ3bmdu
 
Hiyo miradi itaosha lini...maana pale Malagarasi -Uvinza mwaka wa kumi na tano sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…