Miradi Mikubwa Inayotekelezwa na Awamu ya 6 Mkoani Kigoma

Kigoma naona anafukuza mwizi kimyakimya bila kelele, hadi Samia anamaliza watakua mbali, hasa bandari yao ikianza kua active na SGR ikifika huko mikoa ambayo ni sleeping giant itaduwazwa Kwa mapato yao
 
Kigoma inaenda kufungua yote mazima Kila sekta inajengwa miradi mikubwa kuanzia meli Hadi anga.

Chelewa ila ufike ndio jambo la muhimu
 
Waweke na minala ya simu huko uvinza lubalis na barabara maan hata mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya hawajawh hata kufika
 
Labda wataweka maana Kuna mradi wa minara Nchi nzima 👇
Screenshot_20240826-163115.jpg

igsh=ZHVjdGk4MzZudmo0[/URL]
Screenshot_20240825-202848.jpg
 
Back
Top Bottom