ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Kigoma inaenda kufungua yote mazima Kila sekta inajengwa miradi mikubwa kuanzia meli Hadi anga.Kigoma naona anafukuza mwizi kimyakimya bila kelele, hadi Samia anamaliza watakua mbali, hasa bandari yao ikianza kua active na SGR ikifika huko mikoa ambayo ni sleeping giant itaduwazwa Kwa mapato yao
Labda wataweka maana Kuna mradi wa minara Nchi nzima πWaweke na minala ya simu huko uvinza lubalis na barabara maan hata mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya hawajawh hata kufika
Una akili kichwani?Awamu ya sita inafanya maendeleo ya vitu na siyo ya watu.hovyo sana
Kiufupi zinamiminika kabisa ππNdiyo.nyingi sana Hadi zinamwagika