Miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali mkoani Rukwa

Miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali mkoani Rukwa

Hizo barabara Rukwa malizeni haraka zitasaidia kupunguza imani za kishirikina za watu kusafiri kwa ungo

Watu wanatumia ungo wa kichawi sio sababu wanapenda ni sababu ya tatizo la miundo mbinu.Kusafiri kwa ungo ni gharama kuliko kusafiri kwa barabara.Mimi shahidi.

Jengeni haraka hizo barabara
 
Mikoa Inayoongoza Kwa Uchawi Rukwa haipo
 
Mikoa Inayoongoza Kwa Uchawi Rukwa haipo
Kwa maoni yako kama umepungua ninsababubya barabara zinazojengwa na miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa sababu umeme ukiwaka mwanga anahama kijijini..wanga hupenda giza.

Miradi hii miwili ya barabara na umeme itapunguza kwa kiasi kikubwa uchawi kwenye mikoa iliyojaa uchawi
 
Nasema hivi Mikoa Inayoongoza Kwa Uchawi Rukwa haipo,nikuwekee list?
 
View attachment 2960407

Naendelea na mada zangu za Mkoa kwa Mkoa kuwahabarisha miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali ya mama mikoani.

Baada ya Kigoma na Mbeya sasa ni zamu ya Mkoa wa Rukwa.

Rukwa haijaachwa nyuma na upendo wa mama kwenye nyanja mbalimbali za kimaendeleo.

Hii ni baadhi ya miradi mikubwa inayoendelea na utekelezwaji Mkoani Rukwa ambayo italeta Mageuzi ya Uchumi wa watu wa Rukwa.
  • Ujenzi wa barabara ya Ntendo-Muze-Ilemba-Kaoze-Kilyamatundu/Kamsamba 200km
  • Ujenzi wa barabara ya Matai-Kasesya km 50 (Tanzania/Zambia Border)
  • Ujenzi wa barabara ya Laela-Mwimbi-Kizombwe-Matai km 100
  • Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
  • Miradi wa Barabara za mitaa chini ya Tactic km 13
  • Mbeya Road -Kaengesa Seminary km 21
  • Ujenzi wa Chuo Kipya na Kikubwa Cha Ualimu Sumbawanga
  • Mradi wa Msongo mkubwa wa Umeme kuunganisha Rukwa na Grid ya Taifa wa KV 400(TAZA) kutoka Mbeya-Tunduma-Sumbawanga na Substation kubwa Sumbawanga
  • Ujenzi wa Hospital Mpya ya Rufaa ya Mkoa
  • Mradi mkubwa wa Utafiti wa Gas ya Helium(Zaidi ya Bil.400) Blonde la Ziwa Rukwa.
  • Usanifu wa Barabara za Kalambanzite-Ilemba,Lyazumbi-Kabwe na Namanyere -Kipili Port/Kirando, Muze-Kasansa-Majimoto,Laela-Kaleoula Jct-Mwimbi-Kizombwe kwa Ajili ya kujengwa kwa lami unaendelea.
  • Ujenzi wa jengo la Ofisi ya DC Nkasi
  • Ujenzi wa Jengo la Mwendesha Mashaka Mkoa
  • Ujenzi wa Daraja Kubwa Mto Kalambo
  • Ujenzi wa eneo la viwanda vidogo(Industrial Park)
  • Ujenzi wa Skimu ya Umwagiliaji Ilembe= 21 bln
  • Upanuzi wa Bandari ya Kasanga awamu ya 11
Miradi ambayo tayari amekwisha ikamilisha ni ifuatayo;
-Ujenzi wa Chuo Cha Veta Mkoa
-Ujenzi wa Hospital za Wilaya za Nkasi, Sumbawanga Manispaa,Kalambo,Nkasi na Sumbawanga Vijijini
-Ujenzi wa barabara ya Sumbawanga -Kasanga Port
-Ujenzi wa Bandari za Kasanga na Kabwe
-Ujenzi wa Majengo ya Utawala Kalambo na Sumbawanga DC

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1718914342991642747?t=HRAFLbvPU5kGuKr_ISgqOw&s=19

Miradi hii ikikamilika itabadili kabisa taswira ya Mkoa wa Rukwa kutoka kuwa miongoni mwa Mikoa 10 Maskini Tanzania hadi kuwa mchangiani mkubwa kwenye Pato la Taifa.

View: https://youtu.be/bDknjIB-ar4?si=KbozRCob5RaJj5cC

Kazi nzuri imefanyika 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9fGK3lqBZ2/?igsh=MWI1ejBkMWliM21jZg==
 
Chuo Cha Ualimu Sumbawanga 👇👇

View: https://twitter.com/Dodoma_Zone_/status/1813239839258484817?t=e-yfLO8tLRF0fGrj7H1l2A&s=19
20240716_191922.jpg
20240716_191926.jpg
 
Back
Top Bottom