ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #81
Humu ni mada ya RukwaIle ya pangani-bagamoyo imefikia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu ni mada ya RukwaIle ya pangani-bagamoyo imefikia wapi?
Hajakimbia,anamalizia mradi wa Mjini kwanzaKuna barabara ya kwenda ziwa Rukwa mkandarasi alikmbia katelekeza mradi..
Hahahaaa hapo ni siasa, mradi huwa unakuwa na time frame yake..Hajakimbia,anamalizia mradi wa Mjini kwanza
Si anapewa tuu extension kwani client ni nani kama sio Serikali hiyo hiyo?Hahahaaa hapo ni siasa, mradi huwa unakuwa na time frame yake..
Hapo kuna mabilioni ya pesa mkandarasi atalipwa kwa kutomaliza mradi kwa wakati, coz sio kosa lake
Nawaombea mungu waje fasta njia Ile naihitaji Sana aseeSi anapewa tuu extension kwani client ni nani kama sio Serikali hiyo hiyo?
Unadhani Mkandarasi anaweza tuu kukimbia bila Kufuata taratibu za kimkataba? Si atafungiwa mazima?
Subiria amalize Barabara za Mjini za kuombea kura then atarudi huko Ntendo na Matai-Kasesya ,ni mwakani tuu utaona anakimbiza.
Kwani wewe hujui ilianza lini?kipindi chenu kizuri,tatizo mengine hamsemi ilianza lini.
Mada ni Rukwa sio Morogoromfano miradi ua RUWASA mingi ilianza kabla ya 2021,sasa hivi kila kitu kinafutwa.mfano hai Morogoro,lile tank la maji mkundi MORUWASA walilionyesha kama achiement ya sasa wakati mpaka 2021 lilibakia plasta na rangi tu.na mabimba yalikuwa yanafukiwa vizuri tu ila sasa ni kama watakavyojisikia.wanafukua wanatandaza mabomba yanakaa nje bila kufukiwa mpaka mifereji inaharibika.