Miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali mkoani Rukwa

Hizo barabara Rukwa malizeni haraka zitasaidia kupunguza imani za kishirikina za watu kusafiri kwa ungo

Watu wanatumia ungo wa kichawi sio sababu wanapenda ni sababu ya tatizo la miundo mbinu.Kusafiri kwa ungo ni gharama kuliko kusafiri kwa barabara.Mimi shahidi.

Jengeni haraka hizo barabara
 
Mikoa Inayoongoza Kwa Uchawi Rukwa haipo
 
Mikoa Inayoongoza Kwa Uchawi Rukwa haipo
Kwa maoni yako kama umepungua ninsababubya barabara zinazojengwa na miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa sababu umeme ukiwaka mwanga anahama kijijini..wanga hupenda giza.

Miradi hii miwili ya barabara na umeme itapunguza kwa kiasi kikubwa uchawi kwenye mikoa iliyojaa uchawi
 
Nasema hivi Mikoa Inayoongoza Kwa Uchawi Rukwa haipo,nikuwekee list?
 
Kazi nzuri imefanyika πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C9fGK3lqBZ2/?igsh=MWI1ejBkMWliM21jZg==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…