ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Ile ya pangani-bagamoyo imefikia wapi?Rukwa na Katavi zilishaingana kitambo,ilibakia section ya km 90 kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi.
Hata hivyo Kuna Barabara 2 zinakatiza Hifadhi ,Moja inapitia Kwa former PM ya Kibaoni-Sitalike na Nyingine ya Sitalike-Kizi.
Serikali imeamua Kuijenga Kwa Lami hiyo ya Sitalike-Kibaoni na Mkandarasi Yuko site as we speak.