Miradi Mikubwa ya Kimkakati ya JMT huko Zanzibar ni Ipi?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,256
Reaction score
44,597
Kwa kweli kama kuna kitu watu watakumbuka ni jinsi gani serikali ya Rais Magufuli imekuja na miradi kadha wa kadha ya kimkakati. Mingi ni ile ya maendeleo, lakini pia ipo ile ya ufufuaji vile vilivyokufa na kuchakaa... tumeona mara kwa mara viongozi wa serikali ya JMT wakinadi mafanikio mbalimbali ya 'tuliahidi, tumetekeleza, na tunasonga mbele". Je ni miradi gani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo imetekelezwa katika miaka mitano iliyopita na ni ipi inaendelea kutekelezwa sasa. Na ni nani mwenye jukumu ya kulitaarifu Taifa juu ya utekelezaji wa miradi hiyo?
 
Pemba hakuna office ya wizara ya mambo ya ndani, yaani passport mpaka zitoke Unguja, sijui Naibu waziri ana fanya kazi gani ?
 
..kulikuwa na utamaduni kwamba Waziri wa Mambo ya Ndani lazima atoke Zanzibar.

..hivi ktk baraza jipya kuna mawaziri na manaibu waziri wangapi kutoka Zanzibar?
 
Kwa kweli kama kuna kitu watu watakumbuka ni jinsi gani serikali ya Rais Magufuli imekuja na miradi kadha wa kadha ya kimkakati. Mingi ni ile ya maendeleo, lakini pia ipo ile ya ufufuaji vile vilivyokufa na kuchakaa... tumeona mara kwa mara viongozi wa serikali ya JMT wakinadi mafanikio mbalimbali ya 'tuliahidi, tumetekeleza, na tunasonga mbele". Je ni miradi gani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo imetekelezwa katika miaka mitano iliyopita na ni ipi inaendelea kutekelezwa sasa. Na ni nani mwenye jukumu ya kulitaarifu Taifa juu ya utekelezaji wa miradi hiyo?
Wa kwanza ni kuongeza Mapato kwa kutumia blue economy na kuziba mianya ya ubadhirifu ys
 
Imeongezeka ngapi kutoka ngapi ? tangu 2015 Zanzibar iliongozwa na chama kimoja , mlishindwa nini kuibadili Zanzibar kuwa Dubai ?
 
kulikuwa na utamaduni kwamba Waziri wa Mambo ya Ndani lazima atoke Zanzibar.
Huo ulikua ni utamaduni wakishenzi

Wizara ikiwa ya muungano haimaanishi anayepaswa kuongoza lazima atoke Zanzibar
 
..kulikuwa na utamaduni kwamba Waziri wa Mambo ya Ndani lazima atoke Zanzibar.

..hivi ktk baraza jipya kuna mawaziri na manaibu waziri wangapi kutoka Zanzibar?
Mkuu, huo utaratibu ulikuwa lini, maana tumeona akina Kitwnga, Masha, Chiligati, Mrema, Kimario na wengine wakiwa mawaziri katika hiyo Wizara....!!
 
Inawezekana kabisa kuwa hukusoma swali langu...?

Uko sahihi mzee mwanakijiji, ila hii sio dalili njema kwako kwa kuwa zamani mada zako zilipata michango stahiki kutokana na misimamo yako ya wakati huo, ila kwasasa wengi wanakuona mwepesi, hivyo mada zako zimegeuka kama klabu cha pombe. Huenda hili sio kosa lako bali lao, lakini lazima ujiulize mada zako zimefikaje kujadiliwa kwa uduni huu.
 
Back
Top Bottom