Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
kuna wengine mnaweza kupata zero kwenye mitihani kirahisi kweli kweli...Mradi Mkubwa uliotekelezwa Kwa ufanisi ni kubadilisha CHATO kuwa ikulu
Na mungine ni ule uliyoifanya CDM kuwa chama cha pili cha upinzani nyuma ya ACT cha ZitoMradi Mkubwa uliotekelezwa Kwa ufanisi ni kubadilisha CHATO kuwa ikulu
Hata akili za kuvuka barabara huna, Sasa hili ndo jibu la swali? Wana saccos shida.Mradi Mkubwa uliotekelezwa Kwa ufanisi ni kubadilisha CHATO kuwa ikulu
Kwa kweli kama kuna kitu watu watakumbuka ni jinsi gani serikali ya Rais Magufuli imekuja na miradi kadha wa kadha ya kimkakati. Mingi ni ile ya maendeleo, lakini pia ipo ile ya ufufuaji vile vilivyokufa na kuchakaa... tumeona mara kwa mara viongozi wa serikali ya JMT wakinadi mafanikio mbalimbali ya 'tuliahidi, tumetekeleza, na tunasonga mbele". Je ni miradi gani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo imetekelezwa katika miaka mitano iliyopita na ni ipi inaendelea kutekelezwa sasa. Na ni nani mwenye jukumu ya kulitaarifu Taifa juu ya utekelezaji wa miradi hiyo?
Pemba hakuna office ya wizara ya mambo ya ndani, yaani passport mpaka zitoke Unguja, sijui Naibu waziri ana fanya kazi gani ?
Wa kwanza ni kuongeza Mapato kwa kutumia blue economy na kuziba mianya ya ubadhirifu ysKwa kweli kama kuna kitu watu watakumbuka ni jinsi gani serikali ya Rais Magufuli imekuja na miradi kadha wa kadha ya kimkakati. Mingi ni ile ya maendeleo, lakini pia ipo ile ya ufufuaji vile vilivyokufa na kuchakaa... tumeona mara kwa mara viongozi wa serikali ya JMT wakinadi mafanikio mbalimbali ya 'tuliahidi, tumetekeleza, na tunasonga mbele". Je ni miradi gani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo imetekelezwa katika miaka mitano iliyopita na ni ipi inaendelea kutekelezwa sasa. Na ni nani mwenye jukumu ya kulitaarifu Taifa juu ya utekelezaji wa miradi hiyo?

Imeongezeka ngapi kutoka ngapi ? tangu 2015 Zanzibar iliongozwa na chama kimoja , mlishindwa nini kuibadili Zanzibar kuwa Dubai ?Wa kwanza ni kuongeza Mapato kwa kutumia blue economy na kuziba mianya ya ubadhirifu ys
Huo ulikua ni utamaduni wakishenzikulikuwa na utamaduni kwamba Waziri wa Mambo ya Ndani lazima atoke Zanzibar.
Mkuu, huo utaratibu ulikuwa lini, maana tumeona akina Kitwnga, Masha, Chiligati, Mrema, Kimario na wengine wakiwa mawaziri katika hiyo Wizara....!!..kulikuwa na utamaduni kwamba Waziri wa Mambo ya Ndani lazima atoke Zanzibar.
..hivi ktk baraza jipya kuna mawaziri na manaibu waziri wangapi kutoka Zanzibar?
Kwamba sio kweli kwamba Chato sasa imekuwa ofisi ya silikali?kuna wengine mnaweza kupata zero kwenye mitihani kirahisi kweli kweli...
Inawezekana kabisa kuwa hukusoma swali langu...?Kwamba sio kweli kwamba Chato sasa imekuwa ofisi ya silikali?
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Inawezekana kabisa kuwa hukusoma swali langu...?