Miradi Mikubwa ya Uzalishaji Umeme wakati wa Mzee Ruksa ni ipi? Toka hapo...

Miradi Mikubwa ya Uzalishaji Umeme wakati wa Mzee Ruksa ni ipi? Toka hapo...

68 MW Pangani falls power station construction began in 1991 and commissioned late 1994

Ref: Mpango wa maendeleo Tanganyika 1963
Pg 48:1 Hale Hydro-electric project
The Tanganyika Electricity supply company has decided, with the approval of government to construct a hydroelectric power station on pangani river, a few miles up stream from the existing hydro electric station at grand Pangani falls.

kama nitakuwa sijakosea swali ni je kuna mradi gani Mzee Mwinyi alianzisha na ukakamilika?
 
Mkuu, Haya yote ni mambo ya privatization as championed by Mtei, ambaye aliasisi CDM.
Kobello, are you for real ? Jamani tujaribu kuwa serious kidogo tunapojadili mambo kama haya. Huko Senegal watu wako mitaani wakiandamana kupinga mgao, sisi tunalala nao huku nyie wapuuzi mkiona sawa tu.
Serikali haikuinvest kwenye umeme wakidhani TANESCO itabinafsishwa,
Okay tuseme serikali ilidhani TANESCO itabinafsishwa, kubinafsishwa na nani ?
na nimeshasema mara nyingi kuwa privatisation/free market haitomfaidisha mwananchi wa kawaida. Baada ya mwalimu,kila mtu kivyake....sasa mnalalamika nini? si mlisema serikali haiwezi kuendesha kitu chochote? Waambieni hao private investors wachimbe mabwawa muone real charges za umeme.
Tunalalamika kwa kukosa umeme katika karne hii ya 21. Hata hivyo umeenda nje ya mada inayouliza je, ipi miradi mikubwa ya uzalishaji umeme iliyoanzishwa wakati wa Mzee Ruksa ?
Privatisation ni siasa au ideology ya CDM, ila imewatokea puani sasa mnajifanya wajamaa na kutaka serikali iwekeze kwenye umeme...what the hell happened?
Come on kobello, CDM inaingiaje hapa ? Wakati Kikwete anasign mkataba wa IPTL, nani alijua kuwa kuna siku tutakuwa na mfumo wa vyama vingi achilia mbali CDM. Kwa nini mtu akishakuwa mwana CCM, anakuwa mtupu kiasi hiki lakini !
 
You know I'm 4real,hii mada kama sikosei,inataka kuonyesha uzembe wa serikali kuhusu UWEKEZAJI wa umeme.Kama muasisi wenu CDM alipinga serikali kuhodhi mashirika,na matokeo yake serikali ikawapa watu binafsi opportunity ya ku-invest kwenye haya mashirika na hao watu binafsi wakashindwa,kwanini mnailaumu tena hiyo serikali?
Mnanishangaza sana mkisema CDM ni chama cha kijamaa au mlengo wa kati,NO CDM ni chama cha kibepari ambacho kimeingiliwa na wana-CCM wanaotaka ujamaa.Ni siku hizi tu haya mambo ya nguvu za umma ndiyo yametawala hotuba za CDM,lakini tunajuwa wazi kuwa waasisi wenu na marafiki zenu(Tories,Christian democrats...) ni mabepari wanaopinga serikali kuhodhi njia kuu za uchumi.Leo hii mnataka kuwadanganya hawa mayanki kuwa mnataka serikali iwekeze kwenye mashirika.....ndio maana nauliza what the fk happened?
 
Serikali ya CCM ilimuomba lini mzee Mtei ushauri wa utekelezaji wa mpango wa Ubinafsishaji? Ni lini CCM ilidai kuwa ubinafsishaji iliokuwa inatekeleza ulitokana na mawazo ya Mtei? Na je Mtei alipendekeza kubinafsisha kila kitu - lini na wapi?
 
Mkuu,
Haya yote ni mambo ya privatization as championed by Mtei,ambaye aliasisi CDM.Serikali haikuinvest kwenye umeme wakidhani TANESCO itabinafsishwa,na nimeshasema mara nyingi kuwa privatisation/free market haitomfaidisha mwananchi wa kawaida.
Baada ya mwalimu,kila mtu kivyake....sasa mnalalamika nini? si mlisema serikali haiwezi kuendesha kitu chochote?Waambieni hao private investors wachimbe mabwawa muone real charges za umeme.
Privatisation ni siasa au ideology ya CDM,ila imewatokea puani sasa mnajifanya wajamaa na kutaka serikali iwekeze kwenye umeme...what the hell happened?

Mkuu, watu wana confuse privatisation as an ideology. The biggest misconception ni kwamba privatisation is driven by ideological motives. It is a myth propagated by both supporters and critics of capitalism. Kama wewe unasena privatisation ni ideology ya Chadema ni miscoception kubwa sana. Umenikumbusha Margaret Thatcher kwenye auto-biography yake ambapo kabla hajaondoka madarakani alisema eti privatisation is a part of a battle against socialism. Lakini alipoanchia ngazi hakusema tena vile. Alitumia privatisation as a politically motivated campaign.

Utafiti uliofanywa na Ernst & Young unaonyesha kuwa asilimia 69 ya privatisation is driven by the state's requirement for extra revenue. Hii haina maana kuwa ubinafsishaji hauna maana. Ila kujadili ubinafsishaji kama sehemu ya politically motivated campaign only confuses matters. Next time unaweza kuja na gia ya uwekezaji kama ideology.

You know I'm 4real,hii mada kama sikosei,inataka kuonyesha uzembe wa serikali kuhusu UWEKEZAJI wa umeme.Kama muasisi wenu CDM alipinga serikali kuhodhi mashirika,na matokeo yake serikali ikawapa watu binafsi opportunity ya ku-invest kwenye haya mashirika na hao watu binafsi wakashindwa,kwanini mnailaumu tena hiyo serikali?
Mnanishangaza sana mkisema CDM ni chama cha kijamaa au mlengo wa kati,NO CDM ni chama cha kibepari ambacho kimeingiliwa na wana-CCM wanaotaka ujamaa.Ni siku hizi tu haya mambo ya nguvu za umma ndiyo yametawala hotuba za CDM,lakini tunajuwa wazi kuwa waasisi wenu na marafiki zenu(Tories,Christian democrats...) ni mabepari wanaopinga serikali kuhodhi njia kuu za uchumi.Leo hii mnataka kuwadanganya hawa mayanki kuwa mnataka serikali iwekeze kwenye mashirika.....ndio maana nauliza what the fk happened?

Kwani
BAE ambayo ni employer na exporter mkubwa wa bidhaa from UK to outside word ni private company? na kama wao Uk siui torries ni machampiion wa pritvitasation mbona hiyo waliisahau.??????

Hata chama kiwe ni cha kibepari 99.9 kuna mambo it make sense serikali ikiwa share yake iwe directly or idirectly. Unahitaji watu watumie common sense kwenye privitisatiion
 
Naomba nijipe uenyekiti wa mada hii yangu; tayari nimeshaona dalili ya watu kwenda huko na huko. So twende taratibu. Tuanze na swali hili la kwanza na tukubaliane kabla hatujaenda huko kwingine. Miradi ya wakati wa Mwinyi ya umeme iliyoanzishwa na kukamilika hadi hivi sasa nimeambiwa ni ule wa IPTL. Je hili ni kweli?

Said Kunenea kwenye article yake ya Machi mwaka huu yenye kichwa cha habari "Mikataba ya Mwinyi, Kikwete kufilisi nchi" anazungumzia mikataba mikubwa mitatu ambayo imeliandalia taifa mzigo mkubwa wa madeni yasiyolipika hata katika miaka 50 ijayo. Anasema kuwa "Mikataba yenye utata na inayotishia kuangamiza taifa ni ile ya kuzalisha umeme ya makampuni ya IPTL, Richmond na Dowans iliyosainiwa wakati wa utawala wa Rais Ali Hassani Mwinyi na rais Jakaya Kikwete." http://www.mwanahalisi.co.tz/mikataba_ya_mwinyi_kikwete_kufilisi_nchi. According to thread ya mwaka 2006, mradi wa IPTL ulianzishwa wakati wa Mwinyi: https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/10842-ufisadi-the-making-of-iptl.html
 
Matatizo yalianza wakati wa Mzee Ruksa hasa pale TANESCO ilipokuwa-earmarked kwa privatization. Tukumbuke wakati wa huu mambo mengi ya IMF yalikuwa implemented bila ya kuwepo na proper framework and no one knew or cared to think of the outcome. Na ni kipindi hiki IPTL ilikuwa 'imported' TANESCO being a mwali-mtarajiwa hakukuwa na investment yoyote then later on wazo la ku-privatize TANESCO likafifia but already TANESCO was in bad shape.

Kuhusu IPTL - Yes, mambo yote yalifanyika wakati wa Mzee Ruksa (start to finish). Na Mgao wa umeme ulianza mara baada ya kifo cha aliyekuwa Managing Director Salvaroty Mosha- wakati wa Mzee Ruksa pia.

Miradi mikubwa? uh... nchi ilikuwa inaendeshwa kwa gia ya 'zima moto' excpet for the occasional IMF plans!

Tuje kwa Mkapa: Mkapa alipoingia ndio akaleta Vision 2025, na ili kufikia hiyo vision, akatengeza strategies (MKUKUTA). Sasa umeme unaongelewa sana kwenye MKUKUTA kama chachu ya maendeleo lakini in real sense investment imekuwa hakuna. NetGroup walijikita zaidi kwenye kukusanya madeni lakini hawafanya investment yeyote. Hata kuondoa tope kwenye bwawa la Mtera hawakufanya hawa watu badala yake waliishia kupaka majengo rangi!

Kwa Kikwete: Huyu anajuwa sekta ya umeme kiliko kwani ndiye akikuwa waziri wa nishati wakati wa IPTL. Hata hivyo ni vigumu ku-pin point nini hasa anataka kufanya na hii sekta maana kaweka mezani miradi mingi iliyokuwa kabatini i.e Stigler power project, lakini amekuwa amekuwa kwenye gia ya 'dharura'.

So TANU/CCM walijitahidi na umeme, lakini COOL/CCM - NIL.

Mkuu hapo kwenye RED tuko pamoja. TANESCO ilikufa na Mosha. Wakati wa Mosha hakukuwa na mgawo hata kidogo.

Tiba
 
Kwani
BAE ambayo ni employer na exporter mkubwa wa bidhaa from UK to outside word ni private company? na kama wao Uk siui torries ni machampiion wa pritvitasation mbona hiyo waliisahau.??????

Hata chama kiwe ni cha kibepari 99.9 kuna mambo it make sense serikali ikiwa share yake iwe directly or idirectly. Unahitaji watu watumie common sense kwenye privitisatiion

Mkuu nafikiri BAE ni public company listed on the London Stock Exchange. Mwaka 1981, serikali ya Thatcher iliuza asilimia 51.57 ya shares zake baada ya kampuni kuwa plc. Mwaka 1985, serikali iliuza share zake zote na kubalia na special £1 share ili kuifanya BAE indelee kuwa chini ya control ya Waingereza. Kwa kifupi foreign ownership of BAE is limited by law to 29.50%. Practically, the British government does not own the company. BAE is an entirely privately-owned company. Kilichofanyinka ni kwamba, for national security, a law was passed to prohibit exclusive ownership of the company by foreigners.
 
Serikali ya CCM ilimuomba lini mzee Mtei ushauri wa utekelezaji wa mpango wa Ubinafsishaji? Ni lini CCM ilidai kuwa ubinafsishaji iliokuwa inatekeleza ulitokana na mawazo ya Mtei? Na je Mtei alipendekeza kubinafsisha kila kitu - lini na wapi?
Haya ni majibu ya mtei alipohojiwa na gazeti la Greenstone/Courier by A.O

· Given what you have just said, how do you see privatisation ?
- Privatisation is in fact what we have been advocating, even now as a party. We have to privatise because it is not possible to run anything efficiently with bureaucracy. Privatisation is necessary, but we have to do it in such a way that we do not make our economy too foreign at the same time. What we can do is to have some sort of caveats in the negotiations in such a way that, as the new shareholders take over the parastatals, they reserve either a portion for local people now or a portion of the shares to be sold at a later date to local people when they are available. It is a question of looking at each industry during negotiation and arriving at an appropriate agreement before privatisation

What clearly distinguishes Chadema from other opposition parties?-
Chadema is not afraid of saying that the best way of running our economy is to adopt an approach that follows market forces. But it appears that CCM and many other parties here are hesitant and they are ambivalent as far as that is concerned. We are not afraid of saying that socialism as such will not work in this country.
Kumbuka there's a difference between anything na everything.
 
kwa hiyo inaonekana tunakubaliana kuwa Mwinyi kama Mkapa, hakuwekeza kwenye nishati sana. Swali kubwa ambalo ninajiuliza ni kuwa sera ya "Ruksa" ilinufaisha vipi viwanda vyetu na uchumi wetu? Tuliweza kuingiza vitu vingi kweli na watu wakaanza kuonekana na unafuu lakini ilisaidia vipi viwanda vyetu? Yawezekana kwa vile vingi vilikuwa vinazalishwa nje ya nchi hakukuwa na haja ya haraka kuwekeza katika nishati?

Kwanini wakati wa Mwinyi hakufanya jitihada ya kufufuta viwanda vyetu kwa kuleta management mpya au kuingia ubia; au kujaribu kuconsolidate baadhi yake na kuchagua vipi vya msingi kuviokoa?
 
Haya ni majibu ya mtei alipohojiwa na gazeti la Greenstone/Courier by A.O

· Given what you have just said, how do you see privatisation ?
- Privatisation is in fact what we have been advocating, even now as a party. We have to privatise because it is not possible to run anything efficiently with bureaucracy. Privatisation is necessary, but we have to do it in such a way that we do not make our economy too foreign at the same time. What we can do is to have some sort of caveats in the negotiations in such a way that, as the new shareholders take over the parastatals, they reserve either a portion for local people now or a portion of the shares to be sold at a later date to local people when they are available. It is a question of looking at each industry during negotiation and arriving at an appropriate agreement before privatisation

Ndivyo hivyo CCM walivyofanya ubinafsishaji au wao walifanya tofauti? Naona Mtei anatusaidia kujibu.

What clearly distinguishes Chadema from other opposition parties? - Chadema is not afraid of saying that the best way of running our economy is to adopt an approach that follows market forces. But it appears that CCM and many other parties here are hesitant and they are ambivalent as far as that is concerned. We are not afraid of saying that socialism as such will not work in this country.

Haya ni maoni yake, lakini ni lazima tuyakubali kama msahafu? Je hatuwezi kuyahoji? Sijajua ni lini alitoa maoni hayo kwa sababu I'll bet my last dime sidhani kama bado anaamini kuachilia "market forces" kuendesha uchumi in light of current global economic crisis where the market screwed up economies the world over.
 
Hudhani?Are you serious?Hivi unawajua hawa watu au unatetea tu?.....huyo mwenyekiti wenu Mbowe alitaka kuibinafsisha mpaka Yanga,yeye na Mengi walitaka yanga iwe kampuni,now kuna tofauti kati ya watanzania na waingereza,that was a bogus idea,because ukibinafsisha vitu Tanzania,watakaofaidi si watanzania kwa sababu hatuna fedha na hatuwezi kununua hisa.....but they don't understand that!
 
Kobello, I share your sentiments; ninachouliza ni CCM walifuata ushauri wa Mtei katika ubinafsishaji kama ulivyouweka hapo juu?
 
Kobello, I share your sentiments; ninachouliza ni CCM walifuata ushauri wa Mtei katika ubinafsishaji kama ulivyouweka hapo juu?
Hawakuufuata,however,watanzania ni watu wasio na uwezo wa kuwekeza kama tunavyofikiria.....ukiuza shares za parastatals zitaishia to non-indigenous Tanzanians au watanzania wanaotumiwa na watu wa nje ili kuwekeza,au viongozi wenye tamaa na uroho wa pesa au ubinafsi,we both know thats not the recipe.
 
2165729]Haya ni majibu ya mtei alipohojiwa na gazeti la Greenstone/Courier by A.O· Given what you have just said, how do you see privatisation ? - Privatisation is in fact what we have been advocating, even now as a party. We have to privatise because it is not possible to run anything efficiently with bureaucracy.
Hapa unataka kucheza na lugha ili ikidhi hoja yako. Aliposema anything alimaanisha hata shughuli yako binafsi hiwezekani kuiendesha kukiwa na urasimu.Hakuwa na maana ni vigumu kuendesha chochote kile nchini. Unajaribu kutumia neno hilo ili kuonyesha kuwa alitaka kila kitu kibinafsishwe
Privatisation is necessary, but we have to do it in such a way that we do not make our economy too foreign at the same time. What we can do is to have some sort of caveats in the negotiations in such a way that, as the new shareholders take over the parastatals, they reserve either a portion for local people now or a portion of the shares to be sold at a later date to local people when they are available. It is a question of looking at each industry during negotiation and arriving at an appropriate agreement before privatisation
Hapa mzee Mtei anaonya kuwa privitization maana yake si holela. Unakumbuka jinsi mashirika yalivyokuwa yanapigwa mnada kwa concept ya kubinafsisha hata kama yana umuhimu katika usalama wa nchi na uchumi. Mfano mzuri ni TTCL iliyouzwa nusu ikazaa Celtel na sasa Airtel. Kampuni iliyokuwa na monopoly kama hii kubinafsishwa lilikuwa jambo la hatari. Sivyo Mtei alivyokusudia nadhani.
Je CCM ilivyobinafsisha TRC ndivyo Mzee Mtei alivyonena?
 
Hawakuufuata...

Sawasawa, hivyo kauli yako hapo juu kuwa,

Mkuu,
Haya yote ni mambo ya privatization as championed by Mtei ..
Privatisation ni siasa au ideology ya CDM,ila imewatokea puani sasa mnajifanya wajamaa na kutaka serikali iwekeze kwenye umeme...what the hell happened?

Haina msingi. Privatization jinsi ambavyo imesimamia na kuendeshwa na CCM hairesemble hata kidogo mawazo ya Chadema au Mtei. Labda itakuwa vizuri upitie Ilani ya Chadema ya uchaguzi na kuona tofauti ya yale yanayofanywa na CCM na yale ambayo Chadema ingefanya kama ingekuwa madarakani. I believe, suala lao la nishati lingekuwa bora kuliko yale yanayofanywa na CCM. Just check it out.
 
Hapa unataka kucheza na lugha ili ikidhi hoja yako. Aliposema anything alimaanisha hata shughuli yako binafsi hiwezekani kuiendesha kukiwa na urasimu.Hakuwa na maana ni vigumu kuendesha chochote kile nchini. Unajaribu kutumia neno hilo ili kuonyesha kuwa alitaka kila kitu kibinafsishwe
Bureaucracy means government,labda kama hujui hiyo.
Hebu tutafsiri kama unavyotaka;"Huwezi kuendesha kitu chochote ukiwa na urasimu"...na wewe ukasema anamaanisha hata mtu binafsi.Kwa hiyo kama hata mtu binafsi anaweza kuwa mrasimu,whats the point of privatisation?
Swali lilikuwa kuhusu ubinafsishaji against serikali au public ownership,na aliposema bureaucracy alimaanisha serikali not private sector.Ila kama hutaki kuamini hivyo,basi wewe endelea kumtukuza,ila watu wengi wanajua IMF na vibaraka wake siyo solution ya matatizo yetu.
Wateteeni tu,ila mimi hamnipati...I know these people!
 
Haya ni majibu ya mtei alipohojiwa na gazeti la Greenstone/Courier by A.O

· Given what you have just said, how do you see privatisation ?
- Privatisation is in fact what we have been advocating, even now as a party. We have to privatise because it is not possible to run anything efficiently with bureaucracy. Privatisation is necessary, but we have to do it in such a way that we do not make our economy too foreign at the same time. What we can do is to have some sort of caveats in the negotiations in such a way that, as the new shareholders take over the parastatals, they reserve either a portion for local people now or a portion of the shares to be sold at a later date to local people when they are available. It is a question of looking at each industry during negotiation and arriving at an appropriate agreement before privatisation

What clearly distinguishes Chadema from other opposition parties?-
Chadema is not afraid of saying that the best way of running our economy is to adopt an approach that follows market forces. But it appears that CCM and many other parties here are hesitant and they are ambivalent as far as that is concerned. We are not afraid of saying that socialism as such will not work in this country.
Kumbuka there's a difference between anything na everything.

Kwa Mtei ku support privitasation sitashangaa kwa sababu alikuwa Executive Director wa IMF kati mwaka 1982 na 86. Lakini alichosema Mtei is exactly what Kikwete is advocating. I can't see any difference. Kwa mfano linganganisha aliyosema Mtei na aliyosema Kikwete hivi karibuni.

RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza juhudi za pamoja za serikali yake kuvutia wawekezaji na kubainisha kuwa hakuna uchumi wa nchi yoyote duniani unaoweza kukua kwa uwekezaji wa serikali peke yake bila wawekezaji binafsi. "Uchumi huu wa kwetu hautakua bila wawekezaji, nchi yetu haiwezi kuendeshwa na uchumi wa serikali na hakuna uchumi wa nchi yoyote unaeza kukua kwa kutegemea uwekezaji wa umma pasipo kushirikisha wawekezaji binafsi,"alisema. Aliwataka maofisa waandamizi wa serikali pamoja na taasisi za serikali kuchukua hatua za makusudi kuwezesha na siyo kuzuia uwekezaji katika uchumi wa nchi. "Lazima tuwe na haraka katika kuvuta wawekezaji badala ya kuwa wazuiaji wa uwekezaji katika nchi yetu, nchi yetu inayo bahati kubwa ya Kijiografia na lazima tutumie fursa hiyo kuvuta watu kuja na kuwekeza katika uchumi wetu,"alisema.: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/39376-uchumi-hauwezi-kukua-bila-wawekezaji-jk-3.html

Kikwete anaendelea: "Kamwe hatutarudi nyuma, katika uchumi unaodhibitiwa na dola," amesisitiza Rais Kikwete wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) Mama Antoinette Sayeh kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC mjini Arusha. Rais Kikwete amesema kuwa baadhi ya wanasiasa, kwa sababu zao tu za kisiasa, wamekuwa wakiibuka na upinzani dhidi ya mageuzi hayo muhimu, lakini akaongeza kusema kuwa tatizo la wanasiasa hao ni kwamba wamesahau hali ya uchumi na maisha ya wananchi yalivyokuwa wakati uchumi ukimilikiwa na dola.

"Mara watataka Serikali kuyafukuza makampuni ya madini, mara watasema kuwa nchi haihitaji wawekezaji. Uzuri ni kwamba haya hayatoki kwa wananchi. Ni ya sisi wanasiasa. Na unajua tena mwenendo wetu wanasiasa, kwa kadri unavyopigiwa makofi…Wakati mwingine baadhi yetu tunasahau haraka," amesema Rais na kusisitiza: "Lakini napenda kukuhakishia kuwa hakuna kurudi nyuma. Tumefanya maamuzi, tumeona faida ya maamuzi hayo. Mageuzi yamesaidia sana nchi yetu. Tutaendelea, na maneno haya ya wanasiasa yatafikia siku yataisha tu.":MwanaKijiji.COM - Kikwete autukuza Ubepari, akebehi Ujamaa

Kwa vile wanasiasa wa chadema wanaunga mkono privitasation, hapa Kikwete alikuwa anawakandia wanasiasa gani?
 
Back
Top Bottom