Miradi Mikubwa ya Uzalishaji Umeme wakati wa Mzee Ruksa ni ipi? Toka hapo...

Miradi Mikubwa ya Uzalishaji Umeme wakati wa Mzee Ruksa ni ipi? Toka hapo...

uko sahihi kuwa ni ccm na serikali zake baada ya awamu ya kwanza. wakoloni waliiacha hale na nyerere akaacha mtera na ndugu zake. mwinyi na mkapa hawakuona umuhimu wa umeme!!! ni kama waziri mkuu wa uingereza enzi za faraday ambae hakuona umuhimu wa maonesho ya kwanza ya faraday aliyoyafanya kuhusu ugunduzi wake wa umeme. faraday alimjibu kwa upole waziri mkuu huyo kuwa umuhimu wa maonesho yake atauona wakati watakapokusanya kodi na hivyo mapato ya taifa!!! wa kwetu wanashuhudia adha nchi iipatayo

Mkataba wa IPTL ulisainiwa wakati wa Mzee Ruksa lakini ukakamilika wakati wa Mkapa, Mkapa alijenga Kihansi ya MW 80, pia Songa ilianza wakati wa Mkapa. Lakini tuachane na personalities hapa failure hasa ni CCM na mfumo wake wa kifisadi. Kuna mtu alisema katika uchaguzi uliopita kwamba CCM hata wakipata mgombea malaika bado atachafuka tu kwa ufisadi. Kwa hiyo, kama Watanzania tunataka maendeleo katika nyanja zote adui wa kupambana naye ni CCM labda ifumue mfumo mzima na kuanza kitu ambacho hakiwezekani kama vile mtu kujitoa utumbo
 
Mkuu,
Haya yote ni mambo ya privatization as championed by Mtei,ambaye aliasisi CDM.Serikali haikuinvest kwenye umeme wakidhani TANESCO itabinafsishwa,na nimeshasema mara nyingi kuwa privatisation/free market haitomfaidisha mwananchi wa kawaida.
Baada ya mwalimu,kila mtu kivyake....sasa mnalalamika nini? si mlisema serikali haiwezi kuendesha kitu chochote?Waambieni hao private investors wachimbe mabwawa muone real charges za umeme.
Privatisation ni siasa au ideology ya CDM,ila imewatokea puani sasa mnajifanya wajamaa na kutaka serikali iwekeze kwenye umeme...what the hell happened?

Kwani hiyo, serikali ni ya wajinga wasio na mawazo yoyote wakiambiwa kitu na mtu tu wanatekeleza, mbona unaidhalilisha bila kujua hiyo serikali unayodhani unaitetea.

Halafu uache kudanganya watu hapa serikali ya CCM chini ya Baba wa Taifa ilikataa ushauri wa Mzee Mtei na mzee huyu akajiuzulu na kwenda kufanya kazi benki kuu ya dunia kwa hiyo acha malalamiko yasiyo na mashiko tafuta ufumbuzi wa matatizo ya watanzania vinginevyo sisi tusio na vyama mnatuchosha na ushabiki wenu wa kijinga
 
mKAPA ALIJENGA KIHANSI SO SI KWELI KUWA HAKUFANYA CHOCHOTE KTK UMEME
 
Ref: Mpango wa maendeleo Tanganyika 1963
Pg 48:1 Hale Hydro-electric project
The Tanganyika Electricity supply company has decided, with the approval of government to construct a hydroelectric power station on pangani river, a few miles up stream from the existing hydro electric station at grand Pangani falls.

kama nitakuwa sijakosea swali ni je kuna mradi gani Mzee Mwinyi alianzisha na ukakamilika?

Unauliza swali wakati jibu liko hapo juu mkuu?
 
kwa hiyo inaonekana tunakubaliana kuwa Mwinyi kama Mkapa, hakuwekeza kwenye nishati sana. Swali kubwa ambalo ninajiuliza ni kuwa sera ya "Ruksa" ilinufaisha vipi viwanda vyetu na uchumi wetu? Tuliweza kuingiza vitu vingi kweli na watu wakaanza kuonekana na unafuu lakini ilisaidia vipi viwanda vyetu? Yawezekana kwa vile vingi vilikuwa vinazalishwa nje ya nchi hakukuwa na haja ya haraka kuwekeza katika nishati?

Kwanini wakati wa Mwinyi hakufanya jitihada ya kufufuta viwanda vyetu kwa kuleta management mpya au kuingia ubia; au kujaribu kuconsolidate baadhi yake na kuchagua vipi vya msingi kuviokoa?

Unavyosema hakuwekeza sana unamaanisha nini hasa? Mfano mwingine wa mradi mkubwa ulioanzishwa wa bwawa la maji kipindi cha Mwinyi ni mradi wa Kihansi. Ujenzi wake ulianza 1995 kabla ya uchaguzi wa Oktoba na huu mradi ulikamilika mwaka 2000. Una capacity ya kuzalisha 180 MW ingawa kwa sababu ya matatizo ya tabia nchi hauzalishi full capacity kwa sasa
 
Kwenye bold hapo, ina maana CDM ndio chama tawala? Na sera zake ndio zimekuwa implemented for the last 20-25 years?

Pamoja na hayo privatization na kutowekeza kwenye umeme vina uhusiano gani? Serikali makini ingekadiria ukuwaji wa mahitaji ya umeme na kuhakikisha kuna vyanzo vya kutosha kuuzalisha na kwamba hakuna shortage ya umeme. Serikali ingefanya moja ya yafuatayo 1. Kuweka mazingira ya kuwavutia wawekezaji kwenye sekta ya kuzalisha umeme 2. Kama wasipotekea serikali yenyewe iwekeze kwenye kuzalisha umeme. Umeme ni swala nyeti sana, umeme kwa uchumi wa nchi ni kama damu kwa mwili wa mwanadamu.
Kama ni suala nyeti,kwanini IMF walitaka ubinafsishwe?...remember SAP,na huwezi kutenganisha mtei/IMF/privatisation.
 
Wanzagi;2165263]68 MW Pangani falls power station construction began in 1991 and commissioned late 1994
Wanzagi;2165357]Mmh ndugu yangu mi nilidhani unaulizia mradi mkubwa uliojengwa wakati wa Mzee Ruksa. Accurate info za uzalishaji wa sasa itabidi uwatafute Tanesco ila kama sikosei kwa muda mrefu umekuwa ukizalisha 64 MW against 68 MW installed capacity
Nguruvi3;2165531]Pg 48:1 Hale Hydro-electric project.The Tanganyika Electricity supply company has decided, with the approval of government to construct a hydroelectric power station on pangani river, a few miles up stream from the existing hydro electric station at grand Pangani falls
Nilichotaka ni kukuelewesha kuwa kuna tofauti kati ya construction na expansion. Mradi wa Pangani alioukamilisha mwinyi si construction au ujenzi ni expansion ya pangani falls iliyokuwepo. Si sahihi kusema Mwinyi alianzisha au kujenga mradi wa pangani, bali alifanya expansion na kukamilisha. Hii haijajibu swali la msingi, je ni mradi gani wa umeme Mwinyi aliwekeza au kujenga kwa kuanzisha na kukamilisha
kobello;2165624]You know I'm 4real,hii mada kama sikosei,inataka kuonyesha uzembe wa serikali kuhusu UWEKEZAJI wa umeme.Kama muasisi wenu CDM alipinga serikali kuhodhi mashirika,na matokeo yake serikali ikawapa watu binafsi opportunity ya ku-invest kwenye haya mashirika na hao watu binafsi wakashindwa,kwanini mnailaumu tena hiyo serikali?
Mzee Mwanakijiji;2165646]Serikali ya CCM ilimuomba lini mzee Mtei ushauri wa utekelezaji wa mpango wa Ubinafsishaji? Ni lini CCM ilidai kuwa ubinafsishaji iliokuwa inatekeleza ulitokana na mawazo ya Mtei? Na je Mtei alipendekeza kubinafsisha kila kitu - lini na wapi?[
kobello;2168840]Kama ni suala nyeti,kwanini IMF walitaka ubinafsishwe?...remember SAP,na huwezi kutenganisha mtei/IMF/privatisation.
Mzee Mwanakijiji;2165742]Kobello, I share your sentiments; ninachouliza ni CCM walifuata ushauri wa Mtei katika ubinafsishaji kama ulivyouweka hapo juu?
Mag3;2165602]Kobello, Come on kobello, CDM inaingiaje hapa ? Wakati Kikwete anasign mkataba wa IPTL, nani alijua kuwa kuna siku tutakuwa na mfumo wa vyama vingi achilia mbali CDM. Kwa nini mtu akishakuwa mwana CCM, anakuwa mtupu kiasi hiki lakini !

Kobello, Point yako kubwa hapa ni nini? Kinachoongelewa hapa si sera ambazo zipo vitabuni na hazijawahi kupata nafasi ya kutekelezwa, tunaongelea sera za CCM ambayo ndiyo inaongoza serikali kwa miaka 50. Unapojaribu kutumia CDM au Mtei kwa matatizo yaliyopo hueleweki.
Moja ya sababu za Mzee Mtei kujiuzulu ilikuwa ni masharti ya IMF hasa devaluation na privitization. Alipopingwa akajiuzulu na nchi nzima ikaandamana kulaani kile kilichoitwa kugeuka kuwa jiwe.
Sikuwahi kumsikia Mzee mtei akisema kila shirika libinafsishwe. Kwa wakati huo TANESCO ilikuwa inajiendesha vizuri.
Hata hivyo kuna wakati ilibidi serikali ikubaliane na maoni yake hasa uchangiaji wa mambo kama shule, ndipo PM Msuya akaja na ile kauli mbiu 'kila mtu atabeba msalaba wake'. Wakati wa ubinafsishaji holela wa Mwinyi na Mkapa mzee Mtei hakuwepo na kama walichukua mawazo yake si Mtei aliyewashurutisha, lakini pia inawezekana walichukua maoni yake na kuyafanyia kazi hovyo. Mfano ni uuzwaji wa shirika la reli ambao haukuzingatia kanuni, sheria wala taratibu bali 10% kutoka kwa Wahindi na watu walipinga mapema sana, CC/NEC/Ikulu/ Bunge la majority CCM wakasema uendelee.Sasa hapo Mtei au CDM wanaingia vipi.
Hebu tufafanulie unataka kutuambia nini hasa kuhusu sakata la umeme.
 
Mimi ninao uwezo wa kuwekeza na ninayo nafasi hiyo kama walivyo watanzania wengine.

Kauli yako hapo juu basi si kweli; umesema:
watanzania ni watu wasio na uwezo wa kuwekeza kama tunavyofikiria.

Wewe ni Mtanzania na hivyo hauna uwezo wa kuwekeza; lakini umejitengenezea exception. So ungesema hapo juu "Watanzania ni watu wasio na uwezo wa kuwekeza kama tunavyofikiria-isipokuwa mimi".

Ni sawa na mtu kusema:

"Watanzania wote ni waongo"

"Mimi ni Mtanzania"

"Mimi nasema kweli, Watanzania ni waongo!"

Swali je anasema kweli?
 
WanaJFs, natambua kuwa humu Jamvini tunazidiana kwa ma-satellite dish yetu. Kuna mtu kanikonyeza kuwa tatizo la 'lile bwawa' kutojaa maji ni hawa watu wanaoitwa wawekezeji. Hawa wakubwa wanatumia maji kwa kilimo cha umwagiliaji hivyo bwawa kujaa itakuwa ndoto! Sikuweza kupata 'inside info' zaidi kwa wakati huo kwa sababu fulani fulani lakini naomba mwenye satellite dish la nguvu zaidi atoa details hapa, pengine zingeboresha hii habari anayoandaa Mwanakijiji. Na mimi nitaendelea kutafuta details lakini nimeona si vibaya tukazidisha nguvu kwenye hili.

Shukran.
 
Mkuu Nguruvi3,
TANESCO kama shirika lina wataalamu na viongozi,na inafanya kazi zake kitaalamu i.e kuassess generation ya umeme na nini kinahitaji kufanyika,transmission na vile vile distribution.
Serikali ndiyo inayotoa fedha kwa TANESCO,itakuwa a bit shallow kumuongelea rais yoyote kuhusu ujenzi wa mabawa au ununuzi na ukodishaji wa majenereta,hata wizarani waziri siyo mtendaji mkuu,ni wakurugenzi wa idara chini ya PS.
Kitu kilichoiharibu TANESCO,ni uwekezaji mdogo kwenye maintainance,watanzania kwa sasa hawajali sana kuhusu kuongezeka kwa umeme,wanataka at least for now tugenerate 700-800mw ili kusiwe na mgao,this can be achieved with what we have!.
Hii mada kama sikosei,inauliza uwekezaji wa awamu ya pili kwenye umeme.Unfortunately serikali ilibidi ikubali masharti ya IMF kuhusu SAP na dismantling ya TANESCO to facilitate its privatisation.....walibisha lakini baadae wakakubali.
Sasa tujekwenye siasa zetu za vichochoroni,serikali imeshindwa kubinafsisha TANESCO,mainly due to low tarrifs na poor infrastructure esp in transmission,TANESCO haileti faida kwa mtu binafsi,labda aongezewe ruzuku toka serikalini.
Sasa naomba unieleze,IMF walijua hili kabla?Kama walijua kwanini walikazania ubinafsishaji?
Kiuchumi,ilikuwa marehemu Nyerere against Mtei(ideologically).Mtei's ideas that we should succumb to IMF/WB versus Nyerere's ideas of not to.Mtei's ideas won eventually and were embraced by the government of the second,third and current phase.
Mtei is the founder of CDM,thats like your Nyerere,if he don't want anybody in CDM,that person will be gone.He's influencial in the inner circle,he runs CDM and we know his views are the ones that brought us here,the idea that privatisation is the solution to our problems.So,ideologically CDM as a political party or as people with the same ideology are responsible for putting us into this mess.
Ideologically CCM is a socialist party that believes in public ownership of major means of production,while CDM is a capitalist/anti-socialist party which advocates free market i.e leaving the market forces to determine investment and the overall economy.
Point yangu,kama mnailaumu CCM kwa kufuata sera mnazozipigia debe,huo ni uhayawani,ni sawa na republicans kuwalaumu democrats on deficit while they know democrats had to extend Bush era tax exemptions on the rich kama walivyotaka.Instead of blaming the the IMF policies ambazo CDM ndio wanazipigia debe,mnalaumu serikali na TANESCO ambao wakuu wenu IMF waliwashauri waache kushughulikia TANESCO.
Umenielewa sijui?
 
Lisemwalo lipo - Similar problems have been reported in the Past with Pangani basin and the Pangani Basin Water Board has been working with the different stakeholders to manage the board better. different between RBWO and PWB is that PWB is better equipped with financial and human resources.

---

Poor water management in Usangu Basin in Mbeya region has been cited as one of the factors causing power problems that have plagued the country.

In an exclusive interview with The Guardian, stakeholders have urged Rufiji Basin Water Office (RBWO) to help rectify the situation in a move to get the country out of the longstanding energy crisis.


They argue that the current power blues would be a thing of the past if resourceful basins such as Usangu were properly managed.
Michael Mwamlima, who is one of the energy stakeholders, said investigations had shown that water was not flowing back into the Great Ruaha River and down to Mtera Dam because of unregulated agricultural expansion and poor water management practiced upstream.

The Great Ruaha draws its waters from a number of tributaries emanating from the Southern highlands and the country's western Miomboland.

They first flow into the larger wetland area of Usangu past Ruaha National Park into Mtera Dam. According to Mwamlima, unchecked water usage upstream is responsible for the nation's current power woes.

Tanzania rarely experienced rolling blackouts fifteen years ago, because then the country had a clear strategy for managing water resources, he said

According to him, as evidenced by a growing number of users at present, demand for water services in Usangu Basin far outstrips supply. He said rice farmers, for instance, often close floodgates along the tributaries, effectively reducing water flowing downstream.

Mwamlima argued that this makes a clear case for Rufiji Basin Water Office to rein in upstream activity, in an effort to manage water sources.

"There must be a large disparity between incomes generated from uncontrolled agriculture in Usangu Basin compared to incomes lost by businesses countrywide because of the lack of power," he said, calling for a trade-off that ensures stable power supply.

Another stakeholder, Samuel Kikoti, suggested that the RBWO should get its priorities right by channelling its efforts to ensure water conservation in the basin.

He said it made no sense to encourage irrigation in rice floodplains at a time when the country spends millions of dollars trying to stabilise electricity generation.
"Officials at the water office (RBWO) must make sure they first allow water to get into the dam before irrigation takes place," Kikoti said.
According to him, there is excellent inflow into Usangu Basin, hence in theory; these wetlands should be saturated and spilling over into the Great Ruaha, which means Mtera, should have been full by now.

"We would not suffer severely if the water resources used for rice irrigation or animal drinking at Usangu or Ihefu basin were properly managed," he insisted.
When RBWO Water Officer Willy Mwaluvanda was contacted for comment he refuted claims that rice irrigation in Usangu Basin cuts off water supply into Mtera Dam."There is no such a thing," he said adding, "Mtera Dam receives water from (upstream) Usangu the usual way."

According to him, water shortage downstream was a consequence of last year's prolonged droughts. He further said that there is a proper plan that defines utilisation of the available water resources for irrigation.


In a recent statement, the state power utility firm, Tanesco, had said that water levels at Mtera Dam remain dangerously low despite recent rains.

Tanesco's Communication Manager, Badra Masoud said on Thursday that the level of water was worsening and until Thursday Mtera Dam water level was at 691.08 above sea level.

Until May 6, recorded water level at the dam was at a mere 691.18 meters, showing that during the rain season, it rose by a paltry 30 centimetres.



SOURCE: THE GUARDIAN May 28, 2011
 
Kauli yako hapo juu basi si kweli; umesema:


Wewe ni Mtanzania na hivyo hauna uwezo wa kuwekeza; lakini umejitengenezea exception. So ungesema hapo juu "Watanzania ni watu wasio na uwezo wa kuwekeza kama tunavyofikiria-isipokuwa mimi".

Ni sawa na mtu kusema:

"Watanzania wote ni waongo"

"Mimi ni Mtanzania"

"Mimi nasema kweli, Watanzania ni waongo!"

Swali je anasema kweli?
Hivi kwanini unapenda kufabricate maneno ili ya fit unachoamini?Mimi naweza kununua hisa,matter of fact ninazo hisa na zinaniletea faida kiasi fulani.Ninaweza kununua hisa kadhaa kama NMB itawekwa DSE...I can easily do that....na ninayo nafasi hiyo kama watu wengine walivyo na nafasi hiyo
Unachokwepa kukubali ni kuwa asilimia nyingi ya watanzania hawana uwezo,wala information kuhusu ununuzi wa hisa au uwekezaji kwenye haya mashirika.I can say 90% hawana uwezo wa kufanya hivyo.Sasa ndugu yangu kwanini una act kama hujui hili?Au unataka tu kupoteza muda kwa kupindisha lugha?....ukisema watanzania wana hali mbaya kiuchumi,it doesn't neccessarily mean kila mtanzania ana hali mbaya kiuchumi.
You are better than that,acha hizo lugha tata mkuu.
 
[h=1]Swali lilobakia jee WTZ wataweza bei za umeme kutoka ktk kampuni ya Marekani. Ninashaka kwamba serikali imeshasign kwa hii private company kwamba itaweza kucharge bei bila ya any regulation. Kilio kinakuja, Kampuni za Kimarekani hazina mchezo kwenye maximize profits.

Symbion Power Seeks to Expand Capacity in Tanzania, Chief Executive Says[/h]By David Malingha Doya - Jun 13, 2011 5:09 AM ET

Symbion Power LLC, owner of a 120- megawatt power plant in Tanzania, is interested in expanding capacity in the East African nation and may make further acquisitions there, Chief Executive Officer Paul Hinks said.
The company, based in Washington D.C., is in talks with the Tanzania Electric Supply Co. about boosting output and any increase "will depend on Tanesco wanting us to produce more," Hicks told reporters yesterday in Dar es Salaam, the commercial capital. "We also hope to make some more acquisitions, but there is nothing in the pipeline."
Symbion purchased the gas-fired Dowans Power plant in Tanzania last month. The acquisition is one of the measures that the Tanzanian government expects to help close a 260-megawatt power deficit in East Africa's second-biggest economy, Energy and Mineral Minister William Ngeleja told reporters in Dar es Salaam yesterday.
Last week, the Planning Commission in the Tanzanian presidency published a five-year development plan that proposes spending 4.7 trillion shillings ($2.96 billion) to increase electricity output to 2,780 megawatts by 2015 from 1,000 megawatts currently.
The Tanzanian government also has $206 million available from a U.S. grant program to improve electricity distribution in the country, according to the U.S. Embassy in Tanzania. Symbion Power and Pike Electric Corp. (PIKE), based in Mount Airy, North Carolina, won contracts of $110 million and $18 million respectively from the Millennium Challenge Account to build substations and extend electricity distribution in Tanzania, the embassy said on its website.
Symbion Power said last week it signed an interim agreement with Tanesco to sell power to the state-owned utility. The company charges a rate of $4.99 per kilowatt hour, it said.
To contact the reporter on this story: David Malingha Doya in Dar es Salaam via Nairobi at pmrichardson@bloomberg.net.
To contact the editor responsible for this story: Paul Richardson at pmrichardson@bloomberg.net.
 
Kobello, after reading a lot of your comments, I have to say you come across as the 'original loose cannon'. See your ramblings below:

1. Serikali ndiyo inayotoa fedha kwa TANESCO,itakuwa a bit shallow kumuongelea rais yoyote kuhusu ujenzi wa mabawa au ununuzi na ukodishaji wa majenereta,hata wizarani waziri siyo mtendaji mkuu,ni wakurugenzi wa idara chini ya PS - Richmond-Dowans and now Symbion zimekuja kwa nguvu/maamuzi ya nani? Managing Director wa Tanesco?

Kiuchumi,ilikuwa marehemu Nyerere against Mtei(ideologically).Mtei's ideas that we should succumb to IMF/WB versus Nyerere's ideas of not to.Mtei's ideas won eventually and were embraced by the government of the second,third and current phase - Assume this nonense you wrote is true, je, serikali zote zililazimishwa kufuata Mtei's ideas bila kuhoji wala kubadilisha chochote? Kama ndio, nani alizamisha na kwa evedence gani? na hizi idea za Mtei au tuseme msaafu wa Mtei zitabakiwa hivyo siku zote?

Mtei is the founder of CDM,thats like your Nyerere,if he don't want anybody in CDM,that person will be gone.He's influencial in the inner circle,he runs CDM and we know his views are the ones that brought us here,the idea that privatisation is the solution to our problems.So,ideologically CDM as a political party or as people with the same ideology are responsible for putting us into this mess. - I must admit, this is my favourite part. Mr. Bean would proud of you Kabello! hatuna umeme, hela zimeibwa BOT, Quartar wanaleta ndege za kijeshi na kuondoka na wanyama, Nyamongo wameokota maiti barabani baada ya polisi kupiga watu risasi, na kule bungeni wabunge wanapata posho kila wanapohudhuria kikao! Yote haya ni yameshababishwa na Rais Mtei sorry I mean Mzee mmoja anaitwa Mtei aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri wakati wa Nyerere miaka ya 1980 kurudi nyuma!!! mental!
 
Mr FJM,
Ukiwa unaangalia mambo kiudaku,utaona watu kama mimi ni vichaa.Actually haya mambo yamekuwa discussed by so many scholars.
IMF/WB The Washington consesus ndiyo iliyoleta huu ubinafsishaji...you had to do it if u want some mullah.
Chama kinachotetea sera za IMF/WB ni CDM,usiyeyushe.
Tunawauliza kwa mara ya mwisho,je mnakubaliana na matakwa ya IMF? Mbona hamjibu hili swali?
Kama mnakubaliana nayo....let the market forces take control!! stop asking where or when the government did invest,let the private sector buy TANESCO,thats what you wanted right?
The things you se today are a funtion of decisions made by puppets a long time ago.....the dude was very influencial in bringing IMF policies in Tanzania kamas huamini siwezi kukushikia fimbo.
 
Mr FJM,
Ukiwa unaangalia mambo kiudaku,utaona watu kama mimi ni vichaa.Actually haya mambo yamekuwa discussed by so many scholars.
IMF/WB The Washington consesus ndiyo iliyoleta huu ubinafsishaji...you had to do it if u want some mullah.
Chama kinachotetea sera za IMF/WB ni CDM,usiyeyushe.
Tunawauliza kwa mara ya mwisho,je mnakubaliana na matakwa ya IMF? Mbona hamjibu hili swali?
Kama mnakubaliana nayo....let the market forces take control!! stop asking where or when the government did invest,let the private sector buy TANESCO,thats what you wanted right?
The things you se today are a funtion of decisions made by puppets a long time ago.....the dude was very influencial in bringing IMF policies in Tanzania kamas huamini siwezi kukushikia fimbo.

Sijasoma hoja zako ki-udaku. Nimekuuliza very specific questions based on your 'essay'. But Kabello being Kabello, unaenekana kukwepa mada kwa kuleta cheap and off point political rhetoric. Kama IMF/World Bank, and god knows what wameleta sera, na serikali ika-implement na kuona zina madhara kwa nchi, je, kwa nini waendelee na hizo sera? Ilani ya ccm ambayo ndiyo tumeambiwa inafuatwa imeandikwa na Mzee Mtei? imeandikwa na IMF au World Bank? Mambo yakienda vizuri CCM imefanya vizuri, yakienda kombo Mzee Mtei. IMF, World Bank!

Kwa kifupi Kobello hoja zako ni kama unasema viongozi waliopo madarakani including rais na baraza la mawaziri ni 'ceremonial' wanaongoza nchi ni Mzee Mtei, IMF & the World Bank. so choose one - ama ccm ndio wanaongoza nchi ama Mzee Mtei, IMF & the World Bank ndio wanaongoza nchi. Lakini hii kachumbari yako iliyojaa 'malalamiko' is pure nonesense.
 
kobello;2169140. serikali imeshindwa kubinafsisha TANESCO,mainly due to low tarrifs na poor infrastructure esp in transmission,TANESCO haileti faida kwa mtu binafsi,labda aongezewe ruzuku toka serikalini.
Hivi umeshawahi kufanya kautafiti kasiko rasmi kuangalia tarrifs za umeme East Africa, Africa and the world at large.!!!!!!!!!!
Unajua TANESCO inalipa kiasi kampuni kama IPTL kwa siku na inapata return kiasi gani.
TANESCO hii hii ilifanya kazi na mwalimu kuanzia ilipokuwa inaitwa Tanganyika..... Of all the reasons you have pick up low tariffs! seriously.!!!
Kiuchumi,ilikuwa marehemu Nyerere against Mtei(ideologically).Mtei's ideas that we should succumb to IMF/WB versus Nyerere's ideas of not to.Mtei's ideas won eventually and were embraced by the government of the second,third and current phase
Idea za Mtei as a person au as a president! in fact alijiuzulu baada ya kuona anapishana na mwalimu katika sera. Tumekupa mifano wameandama watu, ni vipi idea za Mtei zilishinda? Yaani phase 1,2,3 wote ni mazezeta wakiingia madarakani wanafungua 'kitabu' cha Mtei na kuanza kufuatilia, is that what you mean? seriously Kobello !!!
Mtei is the founder of CDM,thats like your Nyerere,if he don't want anybody in CDM,that person will be gone.He's influencial in the inner circle,he runs CDM and we know his views are the ones that brought us here,the idea that privatisation is the solution to our problems.So,ideologically CDM as a political party or as people with the same ideology are responsible for putting us into this mess
The more you write the more you expose yourself and clear the doubts. Hivi wewe ni Mtanzania, maana nchi hii haijawahi kutawaliwa na chama kingine chochote.

Thanks for your contribution!!
 
Sijasoma hoja zako ki-udaku. Nimekuuliza very specific questions based on your 'essay'. But Kabello being Kabello, unaenekana kukwepa mada kwa kuleta cheap and off point political rhetoric. Kama IMF/World Bank, and god knows what wameleta sera, na serikali ika-implement na kuona zina madhara kwa nchi, je, kwa nini waendelee na hizo sera? Ilani ya ccm ambayo ndiyo tumeambiwa inafuatwa imeandikwa na Mzee Mtei? imeandikwa na IMF au World Bank? Mambo yakienda vizuri CCM imefanya vizuri, yakienda kombo Mzee Mtei. IMF, World Bank!

Kwa kifupi Kobello hoja zako ni kama unasema viongozi waliopo madarakani including rais na baraza la mawaziri ni 'ceremonial' wanaongoza nchi ni Mzee Mtei, IMF & the World Bank. so choose one - ama ccm ndio wanaongoza nchi ama Mzee Mtei, IMF & the World Bank ndio wanaongoza nchi. Lakini hii kachumbari yako iliyojaa 'malalamiko' is pure nonesense.
Mkubwa!
Napinga rushwa iliyopo,posho za wabunge na vilevile mauaji ya raia yaliyofanywa na polisi arusha na north mara na sehemu nyingine nyingi.Na napingana na serikali yetu kufuata ushauri wa IMF,but what can I do?
Ila,kama mada iliyopo ni UWEKEZAJI wa serikali kwenye umeme hapo kidogo lazima nitabisha.Simaanishi kuwa mtei ndiye ameifanya serikali isiwekeze kwenye umeme bali Mtei kwenye interview na maandishi mbalimbali ameweka bayana uungaji mkono wake wa masharti ya IMF/WB.
Sasa kama yeye ni muasisi na kama nilivyoonyesha kwenye post kadhaa zilizopita,ameelleza openly kuwa hataki serikali iendeshe kampuni yoyote ile,serikali iendeshe elimu ya msingi na sekondari,afya na usalama na kuacha soko huria liendeshe uchumi wa nchi(with regulation).Hii imekuwa na ndiyo itikadi ya CDM.
UWEKEZAJI wa serikali kwenye mashirika ya umma!! mbona CDM inashadadia siku hizi?...yaani after realizing that your ideas are all fkd up now you are trying to play fkn Hugo Chaves?All of a sudden?Aren't you boys supposed to stand on what you believe?i.e power of the private sector?
Ongeleeni uwekezaji wa awamu ya pili kwenye umeme,na kwanini serikali haikuinvest heavily on electricity,don't bring that EPA,Kagoda and fisadis crap thats just too 90s!
 
Mkuu nafikiri BAE ni public company listed on the London Stock Exchange. Mwaka 1981, serikali ya Thatcher iliuza asilimia 51.57 ya shares zake baada ya kampuni kuwa plc. Mwaka 1985, serikali iliuza share zake zote na kubalia na special £1 share ili kuifanya BAE indelee kuwa chini ya control ya Waingereza. Kwa kifupi foreign ownership of BAE is limited by law to 29.50%. Practically, the British government does not own the company. BAE is an entirely privately-owned company. Kilichofanyinka ni kwamba, for national security, a law was passed to prohibit exclusive ownership of the company by foreigners.

Mkuu recently nimeangali akipindia kimoja cha BBC

Huwa napenda sana kudowload documentary za bbc . hii ilikuwa inaitwa Made in Britain. Wanasema BAE ni kampuni ya Jeshi la Wingereza. Au mimi sikuelwa ina maana jeshi la Uk ni Private owned. Mi nadhani hiyo prvate wnership ni danganya toto but the truth serikali lazima iwe na mkono palipo palipo na mashai a kitaifa Ngoja niitafute hiyo documentary nawea kuipata youtube
 
Hivi umeshawahi kufanya kautafiti kasiko rasmi kuangalia tarrifs za umeme East Africa, Africa and the world at large.!!!!!!!!!!
Unajua TANESCO inalipa kiasi kampuni kama IPTL kwa siku na inapata return kiasi gani.
TANESCO hii hii ilifanya kazi na mwalimu kuanzia ilipokuwa inaitwa Tanganyika..... Of all the reasons you have pick up low tariffs! seriously.!!!
Yeah wewe unafikiri sababu ya watu binafsi kutowekeza kwenye umeme ni nini?
 
Back
Top Bottom