68 MW Pangani falls power station construction began in 1991 and commissioned late 1994
Kobello, are you for real ? Jamani tujaribu kuwa serious kidogo tunapojadili mambo kama haya. Huko Senegal watu wako mitaani wakiandamana kupinga mgao, sisi tunalala nao huku nyie wapuuzi mkiona sawa tu.Mkuu, Haya yote ni mambo ya privatization as championed by Mtei, ambaye aliasisi CDM.
Okay tuseme serikali ilidhani TANESCO itabinafsishwa, kubinafsishwa na nani ?Serikali haikuinvest kwenye umeme wakidhani TANESCO itabinafsishwa,
Tunalalamika kwa kukosa umeme katika karne hii ya 21. Hata hivyo umeenda nje ya mada inayouliza je, ipi miradi mikubwa ya uzalishaji umeme iliyoanzishwa wakati wa Mzee Ruksa ?na nimeshasema mara nyingi kuwa privatisation/free market haitomfaidisha mwananchi wa kawaida. Baada ya mwalimu,kila mtu kivyake....sasa mnalalamika nini? si mlisema serikali haiwezi kuendesha kitu chochote? Waambieni hao private investors wachimbe mabwawa muone real charges za umeme.
Come on kobello, CDM inaingiaje hapa ? Wakati Kikwete anasign mkataba wa IPTL, nani alijua kuwa kuna siku tutakuwa na mfumo wa vyama vingi achilia mbali CDM. Kwa nini mtu akishakuwa mwana CCM, anakuwa mtupu kiasi hiki lakini !Privatisation ni siasa au ideology ya CDM, ila imewatokea puani sasa mnajifanya wajamaa na kutaka serikali iwekeze kwenye umeme...what the hell happened?
You know I'm 4real,hii mada kama sikosei,inataka kuonyesha uzembe wa serikali kuhusu UWEKEZAJI wa umeme.Kama muasisi wenu CDM alipinga serikali kuhodhi mashirika,na matokeo yake serikali ikawapa watu binafsi opportunity ya ku-invest kwenye haya mashirika na hao watu binafsi wakashindwa,kwanini mnailaumu tena hiyo serikali?Come on kobello, CDM inaingiaje hapa ? Wakati Kikwete anasign mkataba wa IPTL, nani alijua kuwa kuna siku tutakuwa na mfumo wa vyama vingi achilia mbali CDM. Kwa nini mtu akishakuwa mwana CCM, anakuwa mtupu kiasi hiki lakini !
You know I'm 4real,hii mada kama sikosei,inataka kuonyesha uzembe wa serikali kuhusu UWEKEZAJI wa umeme.Kama muasisi wenu CDM alipinga serikali kuhodhi mashirika,na matokeo yake serikali ikawapa watu binafsi opportunity ya ku-invest kwenye haya mashirika na hao watu binafsi wakashindwa,kwanini mnailaumu tena hiyo serikali?
Mnanishangaza sana mkisema CDM ni chama cha kijamaa au mlengo wa kati,NO CDM ni chama cha kibepari ambacho kimeingiliwa na wana-CCM wanaotaka ujamaa.Ni siku hizi tu haya mambo ya nguvu za umma ndiyo yametawala hotuba za CDM,lakini tunajuwa wazi kuwa waasisi wenu na marafiki zenu(Tories,Christian democrats...) ni mabepari wanaopinga serikali kuhodhi njia kuu za uchumi.Leo hii mnataka kuwadanganya hawa mayanki kuwa mnataka serikali iwekeze kwenye mashirika.....ndio maana nauliza what the fk happened?
Mkuu,
Haya yote ni mambo ya privatization as championed by Mtei,ambaye aliasisi CDM.Serikali haikuinvest kwenye umeme wakidhani TANESCO itabinafsishwa,na nimeshasema mara nyingi kuwa privatisation/free market haitomfaidisha mwananchi wa kawaida.
Baada ya mwalimu,kila mtu kivyake....sasa mnalalamika nini? si mlisema serikali haiwezi kuendesha kitu chochote?Waambieni hao private investors wachimbe mabwawa muone real charges za umeme.
Privatisation ni siasa au ideology ya CDM,ila imewatokea puani sasa mnajifanya wajamaa na kutaka serikali iwekeze kwenye umeme...what the hell happened?
You know I'm 4real,hii mada kama sikosei,inataka kuonyesha uzembe wa serikali kuhusu UWEKEZAJI wa umeme.Kama muasisi wenu CDM alipinga serikali kuhodhi mashirika,na matokeo yake serikali ikawapa watu binafsi opportunity ya ku-invest kwenye haya mashirika na hao watu binafsi wakashindwa,kwanini mnailaumu tena hiyo serikali?
Mnanishangaza sana mkisema CDM ni chama cha kijamaa au mlengo wa kati,NO CDM ni chama cha kibepari ambacho kimeingiliwa na wana-CCM wanaotaka ujamaa.Ni siku hizi tu haya mambo ya nguvu za umma ndiyo yametawala hotuba za CDM,lakini tunajuwa wazi kuwa waasisi wenu na marafiki zenu(Tories,Christian democrats...) ni mabepari wanaopinga serikali kuhodhi njia kuu za uchumi.Leo hii mnataka kuwadanganya hawa mayanki kuwa mnataka serikali iwekeze kwenye mashirika.....ndio maana nauliza what the fk happened?
Naomba nijipe uenyekiti wa mada hii yangu; tayari nimeshaona dalili ya watu kwenda huko na huko. So twende taratibu. Tuanze na swali hili la kwanza na tukubaliane kabla hatujaenda huko kwingine. Miradi ya wakati wa Mwinyi ya umeme iliyoanzishwa na kukamilika hadi hivi sasa nimeambiwa ni ule wa IPTL. Je hili ni kweli?
Matatizo yalianza wakati wa Mzee Ruksa hasa pale TANESCO ilipokuwa-earmarked kwa privatization. Tukumbuke wakati wa huu mambo mengi ya IMF yalikuwa implemented bila ya kuwepo na proper framework and no one knew or cared to think of the outcome. Na ni kipindi hiki IPTL ilikuwa 'imported' TANESCO being a mwali-mtarajiwa hakukuwa na investment yoyote then later on wazo la ku-privatize TANESCO likafifia but already TANESCO was in bad shape.
Kuhusu IPTL - Yes, mambo yote yalifanyika wakati wa Mzee Ruksa (start to finish). Na Mgao wa umeme ulianza mara baada ya kifo cha aliyekuwa Managing Director Salvaroty Mosha- wakati wa Mzee Ruksa pia.
Miradi mikubwa? uh... nchi ilikuwa inaendeshwa kwa gia ya 'zima moto' excpet for the occasional IMF plans!
Tuje kwa Mkapa: Mkapa alipoingia ndio akaleta Vision 2025, na ili kufikia hiyo vision, akatengeza strategies (MKUKUTA). Sasa umeme unaongelewa sana kwenye MKUKUTA kama chachu ya maendeleo lakini in real sense investment imekuwa hakuna. NetGroup walijikita zaidi kwenye kukusanya madeni lakini hawafanya investment yeyote. Hata kuondoa tope kwenye bwawa la Mtera hawakufanya hawa watu badala yake waliishia kupaka majengo rangi!
Kwa Kikwete: Huyu anajuwa sekta ya umeme kiliko kwani ndiye akikuwa waziri wa nishati wakati wa IPTL. Hata hivyo ni vigumu ku-pin point nini hasa anataka kufanya na hii sekta maana kaweka mezani miradi mingi iliyokuwa kabatini i.e Stigler power project, lakini amekuwa amekuwa kwenye gia ya 'dharura'.
So TANU/CCM walijitahidi na umeme, lakini COOL/CCM - NIL.
Kwani
BAE ambayo ni employer na exporter mkubwa wa bidhaa from UK to outside word ni private company? na kama wao Uk siui torries ni machampiion wa pritvitasation mbona hiyo waliisahau.??????
Hata chama kiwe ni cha kibepari 99.9 kuna mambo it make sense serikali ikiwa share yake iwe directly or idirectly. Unahitaji watu watumie common sense kwenye privitisatiion
Haya ni majibu ya mtei alipohojiwa na gazeti la Greenstone/Courier by A.OSerikali ya CCM ilimuomba lini mzee Mtei ushauri wa utekelezaji wa mpango wa Ubinafsishaji? Ni lini CCM ilidai kuwa ubinafsishaji iliokuwa inatekeleza ulitokana na mawazo ya Mtei? Na je Mtei alipendekeza kubinafsisha kila kitu - lini na wapi?
Haya ni majibu ya mtei alipohojiwa na gazeti la Greenstone/Courier by A.O
· Given what you have just said, how do you see privatisation ?- Privatisation is in fact what we have been advocating, even now as a party. We have to privatise because it is not possible to run anything efficiently with bureaucracy. Privatisation is necessary, but we have to do it in such a way that we do not make our economy too foreign at the same time. What we can do is to have some sort of caveats in the negotiations in such a way that, as the new shareholders take over the parastatals, they reserve either a portion for local people now or a portion of the shares to be sold at a later date to local people when they are available. It is a question of looking at each industry during negotiation and arriving at an appropriate agreement before privatisation
What clearly distinguishes Chadema from other opposition parties? - Chadema is not afraid of saying that the best way of running our economy is to adopt an approach that follows market forces. But it appears that CCM and many other parties here are hesitant and they are ambivalent as far as that is concerned. We are not afraid of saying that socialism as such will not work in this country.
Hudhani?Are you serious?Hivi unawajua hawa watu au unatetea tu?.....huyo mwenyekiti wenu Mbowe alitaka kuibinafsisha mpaka Yanga,yeye na Mengi walitaka yanga iwe kampuni,now kuna tofauti kati ya watanzania na waingereza,that was a bogus idea,because ukibinafsisha vitu Tanzania,watakaofaidi si watanzania kwa sababu hatuna fedha na hatuwezi kununua hisa.....but they don't understand that!Haya ni maoni yake, lakini ni lazima tuyakubali kama msahafu? Je hatuwezi kuyahoji? Sijajua ni lini alitoa maoni hayo kwa sababu I'll bet my last dime sidhani kama bado anaamini kuachilia "market forces" kuendesha uchumi in light of current global economic crisis where the market screwed up economies the world over.
Hudhani?Are you serious?Hivi unawajua hawa watu au unatetea tu?.....huyo mwenyekiti wenu Mbowe alitaka kuibinafsisha mpaka Yanga,yeye na Mengi walitaka yanga iwe kampuni,now kuna tofauti kati ya watanzania na waingereza,that was a bogus idea,because ukibinafsisha vitu Tanzania,watakaofaidi si watanzania kwa sababu hatuna fedha na hatuwezi kununua hisa.....but they don't understand that!
Hawakuufuata,however,watanzania ni watu wasio na uwezo wa kuwekeza kama tunavyofikiria.....ukiuza shares za parastatals zitaishia to non-indigenous Tanzanians au watanzania wanaotumiwa na watu wa nje ili kuwekeza,au viongozi wenye tamaa na uroho wa pesa au ubinafsi,we both know thats not the recipe.Kobello, I share your sentiments; ninachouliza ni CCM walifuata ushauri wa Mtei katika ubinafsishaji kama ulivyouweka hapo juu?
Hapa unataka kucheza na lugha ili ikidhi hoja yako. Aliposema anything alimaanisha hata shughuli yako binafsi hiwezekani kuiendesha kukiwa na urasimu.Hakuwa na maana ni vigumu kuendesha chochote kile nchini. Unajaribu kutumia neno hilo ili kuonyesha kuwa alitaka kila kitu kibinafsishwe2165729]Haya ni majibu ya mtei alipohojiwa na gazeti la Greenstone/Courier by A.O· Given what you have just said, how do you see privatisation ? - Privatisation is in fact what we have been advocating, even now as a party. We have to privatise because it is not possible to run anything efficiently with bureaucracy.
Hapa mzee Mtei anaonya kuwa privitization maana yake si holela. Unakumbuka jinsi mashirika yalivyokuwa yanapigwa mnada kwa concept ya kubinafsisha hata kama yana umuhimu katika usalama wa nchi na uchumi. Mfano mzuri ni TTCL iliyouzwa nusu ikazaa Celtel na sasa Airtel. Kampuni iliyokuwa na monopoly kama hii kubinafsishwa lilikuwa jambo la hatari. Sivyo Mtei alivyokusudia nadhani.Privatisation is necessary, but we have to do it in such a way that we do not make our economy too foreign at the same time. What we can do is to have some sort of caveats in the negotiations in such a way that, as the new shareholders take over the parastatals, they reserve either a portion for local people now or a portion of the shares to be sold at a later date to local people when they are available. It is a question of looking at each industry during negotiation and arriving at an appropriate agreement before privatisation
Hawakuufuata...
Mkuu,
Haya yote ni mambo ya privatization as championed by Mtei ..
Privatisation ni siasa au ideology ya CDM,ila imewatokea puani sasa mnajifanya wajamaa na kutaka serikali iwekeze kwenye umeme...what the hell happened?
Bureaucracy means government,labda kama hujui hiyo.Hapa unataka kucheza na lugha ili ikidhi hoja yako. Aliposema anything alimaanisha hata shughuli yako binafsi hiwezekani kuiendesha kukiwa na urasimu.Hakuwa na maana ni vigumu kuendesha chochote kile nchini. Unajaribu kutumia neno hilo ili kuonyesha kuwa alitaka kila kitu kibinafsishwe
Hebu tutafsiri kama unavyotaka;"Huwezi kuendesha kitu chochote ukiwa na urasimu"...na wewe ukasema anamaanisha hata mtu binafsi.Kwa hiyo kama hata mtu binafsi anaweza kuwa mrasimu,whats the point of privatisation?
Swali lilikuwa kuhusu ubinafsishaji against serikali au public ownership,na aliposema bureaucracy alimaanisha serikali not private sector.Ila kama hutaki kuamini hivyo,basi wewe endelea kumtukuza,ila watu wengi wanajua IMF na vibaraka wake siyo solution ya matatizo yetu.
Wateteeni tu,ila mimi hamnipati...I know these people!
Haya ni majibu ya mtei alipohojiwa na gazeti la Greenstone/Courier by A.O
· Given what you have just said, how do you see privatisation ?- Privatisation is in fact what we have been advocating, even now as a party. We have to privatise because it is not possible to run anything efficiently with bureaucracy. Privatisation is necessary, but we have to do it in such a way that we do not make our economy too foreign at the same time. What we can do is to have some sort of caveats in the negotiations in such a way that, as the new shareholders take over the parastatals, they reserve either a portion for local people now or a portion of the shares to be sold at a later date to local people when they are available. It is a question of looking at each industry during negotiation and arriving at an appropriate agreement before privatisation
What clearly distinguishes Chadema from other opposition parties?-
Chadema is not afraid of saying that the best way of running our economy is to adopt an approach that follows market forces. But it appears that CCM and many other parties here are hesitant and they are ambivalent as far as that is concerned. We are not afraid of saying that socialism as such will not work in this country.
Kumbuka there's a difference between anything na everything.