Miradi ya EPC+F yamuondoa Waziri Bashungwa Ujenzi, Mpina alionya mikataba hii miaka 2 iliyopita akapuuzwa

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024


View: https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au
MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023


View: https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e

SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun 2023


View: https://youtu.be/zQGotpiYVGc?si=MBXjZEORLx6fx20X
MSIKILIZE WAZIRI WA UJENZI MBARAWA AKIMSHAMBULIA MPINA ALIYEPINGA MIRADI YA EPC+F TAREHE 17 Jun 2023


View: https://youtu.be/NoT16jHw5To?si=wznK0hPSWVMKyXEf

MSIKILIZE HAPA MPINA HAPA KUHUSU EPC+F TAREHE 1 Mar 2024


View: https://youtu.be/jtZhT4_Nxwc?si=Mk5g_9XoUpwzpEqd
WABUNGE NAO WAKASHANGILIA MIKATABA YA EPC+F TAREHE 24 Jun 2023


View: https://youtu.be/_cC-lQOcMcY?si=oA0H45QKWseYlGWa
 
Daah had kwenye mradi mnapiga formula za F
 
Hapa ndo tukubali kwamba Tuna MaCCM Majinga sana, wanaleta jambo ambalo hawawezi kufikia mwisho wake!
 
Wabunge wengi wa CCM hamnazo. Masache Kasaka ni mfano halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…