Miradi yote mikubwa ya ujenzi kama barabara, maji, SGR na umeme imesimama kwa sababu ya Serikali kukosa fedha za kulipa wakandarasi. Mfano kwa SGR lot 3 na 4 Kampuni ya Kituruki imesimamisha shughuli kutoka Makutopora , Tabora, Isaka. Vilevile lot 5 Isaka Mwanza , Kampuni ya Kichina pia imesimamisha kazi. Kwa barabara pia angalia mfano njia za mzunguko dodoma wakandarasi wamakimbia.
Sababu za haya yote ni hizo:-
1. Tulianza ujenzi wa miradi mikubwa kwa kutumia fedha za mikopo ambayo sasa imeiva inatakiwa kulipwa , hivyo pamoja na kukusanya kodi nyingi tunaishia kulipa madeni ya mikopo na riba za mikopo iliyoiva;
2. Hatukuwa na mipango madhubuti ya kujua vyanzo vya fedha kwa miradi mikubwa kwa siku za usoni hivyo cash flow imepotea;
3. Kumekuwa na riba kubwa ya mikopo duniani na akina mwigulu wanatumia fursa hizo kujipatia fedha za wizi. Mfano mwaka jana Benki ya Standard Charted ilikuwa tayari kugharamia SGR ila akina mwigulu wakaweka cha juu siri ikafichuka zaidi ya mwaka sasa mkopo umekwama;
4. Kumekuwa na matumizi yasiokuwa na tija serikalini kwa kuanza na ofisi ya rais yenyewe, safari nyingi za nie zisizokuwa na na tija na akiambatana na watu wengi bila sababu;
5. Mhe Rais amezungukwa na watu wenye uwezo mdogo sana na upeo finyu na maono mafupi ya uongozi wa chi. Angalia kuanzia Katibu wake anayeshinda mitandaoni kupiga picha na ambaye ndio godfather ukitaka uteuzi hadi wa uwaziri;
6. Taasisi nyingi za fedha duniani zimeanza kuwa na wasiwasi na Tanzania hasa hatma ya Uchaguzi wa 2025 iwapo CCM wataendelea na SSH au watamtupa hii sintofahamu imesababisha taasisi hizo kushikilia mikopo yao hadi Uchaguzi uishe wapime stability;
hayo ni kwa uchache, kutokana na changamoto ya kifedha SSH amekimbilia Seoul , Korea juzi kutafuta mkopo wa takribani trilioni 6. Mkopo huo hautapatikana kwa haraka kama wangi wanavyofikiri sababu kilichosainiwa ni financial agreement tu na sio loan agreement.
Tufanyeje. Tujadiliane, lakini kwa kuanza ni kupunguza matumizi ya anasa, kufukuza wezi serikalini kama aweso, makamba, bashe, mwigulu, mbarawa, kitila mkumbo na wengi tu. Rais azungukwe na watu wenye akili na maono sio wahuni wa instagram. CCM iwe imara kuisimamia Serikali yake.