Miradi yote ya Ujenzi iwe chini ya Wizara ya Ujenzi

Miradi yote ya Ujenzi iwe chini ya Wizara ya Ujenzi

Jemmy15

New Member
Joined
Mar 16, 2026
Posts
2
Reaction score
2
Kitu Gani kinafanya wizara ya UJENZI isihusike na miradi YOTE ya UJENZI ya serikali?

Bali imejikita kwenye Ujenzi wa barabara kuu na baadhi ya majengo au wizara zingine zinatumia miradi ya ujenzi kama chaka la kuiba pesa za umma hasa wizara ya TAMISEMI, TBA tasisi ambayo iko chini ya wizara ya UJENZI ipewe jukumu la kusimamia na kutekeleza miradi ya majengo ya serikali kama madarasa, ofisi, vituo vya Afya na nyumba za watumishi, sio kurundika wahandisi halmashauri wakiwa wamejikalia ofisi bila kazi za kufanya.

Ninashauri bajeti za Ujenzi zote zipelekewe wizara ya UJENZI Kwa ajili ya utekelezaji wa miradi YOTE ya UJENZI.
 
Kuna mfumo unaotengenezwa hapo kama hauna D mbili hautaelewa.
 
Back
Top Bottom