Mirathi katika ndoa ya wawili

Mirathi katika ndoa ya wawili

Mali huwa inagawanywa kwa asilimia baada ya kupatikana thamani ya Mali husika.Labda kwa ushauri naomba ingia Google tafuta Sheria ya mirathi Tanzania utapata maelezo vizuri ikiwa ni pamoja na mgawanyo wa Mali za marehemu unavyofanyika.
Kanuni ya kisheria inaelekeza kuwa mzazi aliyebaki anapewa 1/3 na watoto 2/3 ya thamani ya mali,hii ni kwa wakristo.Maana Sheria imegawanyika katika uislamu,ukristo,wahindi au wa-Asia na watu walioishi au kufungua ndoa kimila(mila za makabila husika)
Asante sana ndugu yangu nimeipata she.ria ya mirathi Tanzania ubarikiwe sana IDUMU JF kisima cha maarifa
 
Kwa ufahamu wangu mdogo... Mali mtagawana nusu kwa nusu hats zile ulizo zitafuta kabla hamuaingia kwenye ndoa na Mali ambayo uliyoandika jina la mke wako itahesabika ni Kama zawadi umempatia hivyo hiyo aijumishwi kwenye Mali mtakazo gawana. Hayo Maelezo kutokana uelewa wangu tu.
NB:Mimi sio mwanasheria.
Wana jamvi wamejibu vizuri sana hapo juu ila hili la kugawana mali nusu kwa nusu halipo kisheria mnaweza gawana lkn sio lazima iwe nusu nusu
 
Back
Top Bottom