funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
- Thread starter
- #21
Asante sana ndugu yangu nimeipata she.ria ya mirathi Tanzania ubarikiwe sana IDUMU JF kisima cha maarifaMali huwa inagawanywa kwa asilimia baada ya kupatikana thamani ya Mali husika.Labda kwa ushauri naomba ingia Google tafuta Sheria ya mirathi Tanzania utapata maelezo vizuri ikiwa ni pamoja na mgawanyo wa Mali za marehemu unavyofanyika.
Kanuni ya kisheria inaelekeza kuwa mzazi aliyebaki anapewa 1/3 na watoto 2/3 ya thamani ya mali,hii ni kwa wakristo.Maana Sheria imegawanyika katika uislamu,ukristo,wahindi au wa-Asia na watu walioishi au kufungua ndoa kimila(mila za makabila husika)