Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
Hii haiwezi kuwa hukumu rejea kwa sababu haijatolewa na mahakama ya rufaa.------------------------------
Kwa kuwa hii ni hukumu-rejea kwa sasa hii ndo tafsiri ya sheria nchini Tanzania,
Jaji mwingine wa Mahakama Kuu anaruhusiwa kuipuuza hii hukumu kwa sababu mahakama hii haina nguvu kuliko Mahakama Kuu nyingine yeyote.
Na kwa kweli wanapaswa kuipuuza kwa sababu haijataja sheria inayotamka kwamba hata mwana haramu ana haki ya kurithi. Inatutajia hoja za binadamu wote ni sawa, watoto wote hawastahili kubaguliwa. Kama binadamu wote ni sawa na watoto wote duniani hawapaswi kubaguliwa basi watoto wa jirani nao wana haki ya kudai kurithi.