Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TakbiirMirathi ya Waislam haina kwere
Na hizi akili kama zako zinawafanya matajiri wengi ngozi nyeusi wakifa na utajiri wao unapuputika wote na wanaoufaidi ni marafiki zako sababu ndo wanajua abc za mali na sio familia yakowatoto nao watafute maisha yao wasisubiri urithi
Ndo maana nimemtolea mfano huu hapaHizi akili za kijinga ndio zinasababisha baadhi ya jamii hapa Afrika zizidi kubaki kwenye umasikini
Malezi ni wajibu sio urithi huo, nyie ndo mnasemaga ooh mwanangu elimu ndo urithi wako, mnakwepa majukumu kwa ubinafsi wenuUrithi sio lazima iwe mali,
Malezi mema na elimu utakayo wapa wanao ni urithi kamili kabisa kama hukupata mali ya kuweza kuwaachia wanao,
Kuwaza urithi wa wazazi wako ni dalili ya uvivu,kukata tamaa au kutaka vyamteremko.
Rubbish.Malezi ni wajibu sio urithi huo, nyie ndo mnasemaga ooh mwanangu elimu ndo urithi wako, mnakwepa majukumu kwa ubinafsi wenu
Acha ubinafsi, mrithishe mwanao maliRubbish.
Ndo maana nimemtolea mfano huu hapaMalezi ni wajibu sio urithi huo, nyie ndo mnasemaga ooh mwanangu elimu ndo urithi wako, mnakwepa majukumu kwa ubinafsi wenu
Rubbish.Acha ubinafsi, mrithishe mwanao mali
Hao marafiki wa marehemu wanakua ngozi nyeupe au ngoz ya taq wenzetu?Ndo maana nimemtolea mfano huu hapa
Chini
Na hizi akili kama zako zinawafanya matajiri wengi ngozi nyeusi wakifa na utajiri wao unapuputika wote na wanaoufaidi ni marafiki zako sababu ndo wanajua abc za mali na sio familia yako
Kuna faida gani unakufa wewe alafu marafiki zako na watu wako wengine ndo wanaofaidi matunda ya jasho lako huku familia ukiacha kwenye mateso
Wahindi na warabu wanarithishana nali unakuta utajiri ulianzia kwa babu unaenda mpaka kwa wajukuu lakin ni kawaida sana muafrika kufariki leo na utajiri wote ukamfuata yaani unapambana kwa ajili ya kuneemesha familia za rafiki yako
Matajiri wa kiafrika wanaakili kama zako matokeo yake wakifa marafiki zao ndo wanaofaidi mali zao Uku familia zao zikibaki hazina kitu baada ya mda flaniRubbish.
Akili zipi? umeelewa nilichokiandika?Matajiri wa kiafrika wanaakili kama zako matokeo yake wakifa marafiki zao ndo wanaofaidi mali zao Uku familia zao zikibaki hazina kitu baada ya mda flani
Umehamisha tena magoliAkili zipi? umeelewa nilichokiandika?
Kuna sehemu nimesema kua watoto hawastahili urithi? Au umeamua tu kukurupuka?