butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Hence, thread closed!!Hebu tumsikilize Prof. Suleiman
View attachment 2972678
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hence, thread closed!!Hebu tumsikilize Prof. Suleiman
View attachment 2972678
Mkuu! Unaongea vitu huvijuiVijana wapewe elimu bora kwanza Maria Careen angekuwa Kama amesoma Ana Elimu angeishi maisha mazuri na angemuokoa baba yake katika tabia za ulevi na uzinzi.
Afande sele- ndo msanii ambaye kafanikiwa kumlea mtoto wake tunda na sasa hivi tunda , Ana degree nzuri na ameajiriwa and everything is OK.
Umaarufu fake unatesa.
Mkuu! Unaongea vitu huvijui
Anaitwa Karen na sio Maria Careen
Ni muhitimu wa Degree pale IFM mwaka 2017/2018
Watu wote hawawezi kua sawaAchana na degree unamjua Tunda wa Afande sele
Mtazame tunda ndo utajua huyo mtoto , ni mfano wa mabinti wenye elimu na wenye sense of who you are.
Gardner - RIP
Sahihi KabisaNdo maana waafrika matajiri wakifa marafiki wakaribu ndo wanafaidi mali za marehemu lakin watoto na familia wanabaki katika hali ngumu kwa sababu ya mentality za waafrika kwamba usimpe mtoto urithi eti apambane mwenyewe
Yaan mtu unapmbana kwa ajili ya familia za marafiki zako ni mambo ya kijinga sana
Watu wote hawawezi kua sawa
Embu acheni kunyanyasa watu mitandaoni bila sababu za nsingi
Wewe sihuwa unabehave kama vile mentor/ mshauri nasaha mbona keo unapuywnga sasa mkuu?
Upo sahihiJamii isiyojitambua ndiyo hukaa kusubiri urithi. Jaribu kusoma mamilionea wengi wa majuu wanavyogawa mali zao kwa charities na kuwaachia watoto kidogo sana. Urithi mzuri kabisa kwa watoto ni elimu nzuri na malezi mazuri.
Sasa unafikiri bakhresa akiamua kugawa sehemu yake ya utajiri ama shares zake kwa vituo vya yatima vikawa vinapokea fungu kila mwaka watoto wake watafilisika ilihali nao wana shares zao kwenye makampuni ya baba yao?Jibu bovu hilo! Andika kwa busara. Iwapo hutamjenga mtoto wako kutengeza mali yake mwenyewe na kumwacha ategemee mali yako hujamwachia urithi wowote.
Hahhaaaaaa...Namaanisha Stiv ake aandike wosia
Wewe na ndugu zako huko Rombo ndo hamjitambui haiwezekan mmeshindwa Kujenga nyumba ya maana miaka yote hiyo. Halafu msiba ukifika mnababaikaNarudia tena: jamii isiyojitambua ndiyo inakaa kutegemea urithi wa wazazi.
Mzazi akiacha mali zinatakiwa zitupwe?Narudia tena: jamii isiyojitambua ndiyo inakaa kutegemea urithi wa wazazi.
Mkimaliza kujibizana mtuambie tuwe upande gani.
Waendelee kwenda vyuoni au wasubiri mali zangu.
Asante sana DR HAYA LANDUsiache kuwapa watoto elimu kwanza
Ikiwa kipato chako sio kikubwa Sana we focus na kuwandaa watoto wako waje Kuwait productive wawe na tija.
Watu wengi hasa waswahili wamewaachia mali Ila sasa hawana kitu.
Mtu akiwa smart na akawa na tija hatoshindwa kuishi maisha yenye positivity na kuzalisha Mali.
Hivyo usiwanyime watoto Elimu tena wawekee na mkazo mkubwa.
Ukikosa elimu , ukakosa maarifa hata ukipewa mali utaendelea kubaki gizani