Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Wewe bado ujinga unakusumbua yaani mtoto wangu akaangaike alafu mimi ni tajiri huo ujinga mimi siwezi fanya na ambao ngozi nyeupe hawawezi fanya utawakuta kwa waafrika ndo maana mwafrika akifa ghafla ni migogoro na mda sio mrefu urajiri wote unapuputika sababu watoto hawakuandaliwa kwa kupewa urithi mapema

Wewe kapambane kwa sababu wazazi wako hawana kitu
Lakin wazazi wako wana utajiri unapambania utajiri wa wazazi wako ukue zaid ndo urithi wenu ndo walichofanya wakina dewji na watoto wa asas na sahivi watoto wa bakharesa

Mimi nijue mtoto wangu anasubiria urithi kutoka kwangu hilo kamwe haliwezi nisumbua akili
Yaani sisi wafrika tunataka mateso na struggle tulizopitia na watoto wetu wapitie tuna ubinafsi sana
Kwakweli.
 
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.

NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
Wewe umetengeneza ?

Urithi wa utu, elimu, Busara na amani ni mkubwa kuliko mali za dhuluma na ufisadi
 
Back
Top Bottom