Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekomaa na mtoto wa afande sele utasema ni yeye tu aliyekaa kwenye mstariYes , watu tumekuwa judgmental Sana .
Ila unajua mkuu , ukimuangalia mtoto wa afande sele yule binti lazima up ate goosebumps .
Ukipata MUDA mtazame tunda wa Afande sele then umuangalie na Huyo Malkia
Ukimlea Mtoto hakikisha anakuwa na tija na sio kumuharibu na kuwa vile alivyo
Afande sele na Tunda yale ndo malezi
Hicho siyo celebrities tu watu wengi bongoCelebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
🤣🤣Kumbe inawezekana mtu kuabika hata baada ya kufa
Ndo maana bongo kila mtu ni mwizi mwizi tuu. Akipewa dhamana yoyote ni kuiba tuu. Ni kwa sababu ya hii mindset ya kutafuta mali za wizi kurithisha watoto.Hayo maisha watayatafutia wapi pasipo kuwaandalia wewe mzazi?
Acha kukimbia majukumu yako wewe. Kama hutaki kuwaachia watoto wako urithi, basi usizae.