Wazazi wake walimaindi hakuoa mwanamke mweusi
Anyway Urithi kwa wakristo una mapungufu, mke anachukua 50%. watoto nao 50%, hakuna wazazi.
Hata hivyo huyu mdada mlatino kamvumilia Kobe sana. Kobe alimuoa akiwa na bado msichana mdogo wa miaka 18. Wazazi wa Kobe walimpinga sana. Watu wakisema ndoa haitadumu.Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama Alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake. hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake .
ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana How can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.
kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive. huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank
View attachment 2943882
Wazazi wake hawakupenda alivyooa mwanamke asie mweusi, itakuwa walikata mawasiliano
Sasa unalaumu nn hapo?Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama Alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake. hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake .
ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana How can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.
kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive. huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank
View attachment 2943882
Snoop huyo mshkaji wake wa damu.Wazazi wake hawakupenda alivyooa mwanamke asie mweusi, itakuwa walikata mawasiliano.
Grudges , grudges, grudges.............she hold those for a loooooong time .Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama Alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake. hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake .
ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana How can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.
kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive. huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank
View attachment 2943882
Unaongea utumbo wakati wewe ni muislamu kabisaWazazi wakarithi mali za wazazi wao yani mzazi unataka kurithi mali za mtoto wako na wajukuu wako watarithi nini?
Inawezekana akawa si muislamu si unajua mambo ya mitandaoni humu.....Unaongea utumbo wakati wewe ni muislamu kabisa
Kwa mafundisho ya kiislamu huyo kobe kafanya makosa makubwa mnoHawana kazi wanazofanya?
Mambo ya kutegemea mtu/watu maishani ni mabaya sana.
Kwani yeye Kobe alikuwa muislamu?Kwa mafundisho ya kiislamu huyo kobe kafanya makosa makubwa mno
Unaushairi nini kizazi jipya cha machawa...cc..Mwijaku,baba levo Na doto magariHawana kazi wanazofanya?
Mambo ya kutegemea mtu/watu maishani ni mabaya sana.