Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

Logical non sequitur.

Rubbish.

Uislamu huku watu wanauona ujinga tu.
Jibu hoja. Kama uislam ujinga basi tuachie na ujinga wetu lkn makafiri wenzio wakubwa akina papa wanaona uislam ndio njia sahihi wanachofata huko na maslahi ya kifedha tu
 
Haha. Ndio mnauana kwa mali . Halafu roho mbaya hio. Ukisha kufa unadhani nikusaidia. Si unaacha watu wanazichezea
 
Jibu hoja. Kama uislam ujinga basi tuachie na ujinga wetu lkn makafiri wenzio wakubwa akina papa wanaona uislam ndio njia sahihi wanachofata huko na maslahi ya kifedha tu

Mimi nimekuacha na ujinga wako, wewe ndiye unaleta habari za Uislamu kwenye uzi wa mtu ambaye hakujali lolote kuhusu Uislamu.

Unalazimisha Uislamu uwe relevant katika sehemu ambayo Uislamu ni irrelevant.

Uzi wa Kobe Bryant lakini unalazimisha tu habari za Uislamu.

Ugaidi wa kimawazo tu huu.
 
Hata mbowe alishatskiwa kwa ugaidi tena mkiristo hasa yule. Unasemaje hapo?
 
Uislam siyo kinga ya ujinga wako na siyo mila za Kiafrika ni za Waarabu na ndiyo maana wao wanaoana ndugu kwa ndugu ili kulinda mali zisipotee

Sent from my SH-52C using JamiiForums mobile app
Kwani kinachokuumiza wewe ni kuoana ndugu kwa ndugu? Mbona hata biblia inaeleza Yakobo alimuoa mtoto wa mjomba yake? Je Yakobo alikuwa mwarabu?
 
Unajua katika taratibu za Maisha au Sheria kuna kitu kinaitwa general rule, lakini general rule inaweza kurekebishwa Kwa Jambo Fulani kutokana na mazingira ya suala lililopo. Mfano Mtoto WA chini ya umri WA miaka 18 haruhusiwi kuingia mkataba wowote, lakini ikiwa jambo aliloingia ni necessity, but Sheria itatambua huo mkataba au hilo Jambo.
Sasa Kwa Kobe ana Mali zilizopotiliza, hivyo kuwapa kidogo wazazi wake sio kitu kibaya.
Tuna sema ni kutoa kama kutambua uwepo wao na kitu au nafasi walio kupatia katika Maisha yako.
 
Mkuu,

Mali si issue. Kuna watu wana mali ndogo sana na wanawapa wazazi wao, na kuna watu wana mali nyingi sana na hawawapi wazazi wao.

Waswahili katika mfumo wao walijua hili, wakasema "Kutoa ni moyo, usambe utajiri".

Mtoto ana haki ya kukataa kumsaidia mzazi wake bila kunyanyapaliwa kwamba kakataa kumsaidia mzazi wake, awe ana mali au hana mali. Cha mtoto kinashuka chini kwa mtoto wake, hakirudi juu kwa baba.

Yani yule ambaye hana mali akishindwa kusaidia wazazi wake kwa sababu hana mali na yule mwenye mali akikataa kusaidia wazazi kwa sababu hataki tu, wote wawe sawa, wote ni watoto, hawana wajibu wa kumsaidia mzazi, wajibu ni wa mzazi kulea watoto, si wa mtoto kulea mzazi.

Suala ni principle, wala si mali.
 
Sio principle, ni wajibu wa watoto kuwatunza Wazazi wao. Hivi mkuu, Mzee wako akiumwa, wewe hutamuuguza!?
 
Katika uislamu kuwatunza wazazi ni lazima na sio ombi kutokufanya hivyo ni dhambi kubwa itakayokufanya uingie jahanam.......

Mwenyezi haikubali ibada ya mtu asiyewatendea wema wazazi wake............
Sie kiafrika pia Ni lazima kuwatunza. Hili halihitaji mpaka mzungu ama mtu mweupe anipe utaratibu namna ya kuishi.

Ila watu beans Wana mental attitude diseases. Hizi Ni traditional and norms za watu na mazingira yao.
Kiafrika naweza nikaoa hata wanawake Mia tano Ni mradi niwatunze mbele ya Mungu wetu.
Sijajua nyie huko na Imani za waarabu na wazungu.
Hivi jamaa wanawapenda mno Mana na pia wanapenda muwe na maisha mazuri.
Watu wamekuwa addicted and mentally enslaved towards foreign beliefs.
 
ulilipia ada watoto na wakipata baadae
Assume mtt akasoma free kwa uwezo wa kufaulu na anapata scholarship.
Pia kusoma sidhani Kama Kuna hela zinahitajika.
Navyojua Ni Ile ambitious, passion,desire ya mtu kupenda kujifunza kitu fulani.
Ondoa ada huna kingine Cha kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…