Miriam Ndayishimie: Nilianza kunuka kutokana na vidonda vya majeraha ya kupigwa na muajiri wangu

Miriam Ndayishimie: Nilianza kunuka kutokana na vidonda vya majeraha ya kupigwa na muajiri wangu

sasa hili swali sijui namna ya kukujibu ila wengi ambao mimi huwa nawapata ni kupiyia kijana wangu wa garden ambae nae ni mnyasa
na uhitaji sana na mfanyakazi kutoka nje ya nchi
 
Hawa watu wana roho mbaya ya kikatili nyieeee uwiiii!
 
Sehemu pekee ya muafrika kuwa salama ni Afrika tu. Kwingine huko sisi ni takataka tu.
 
Waarabu Ni nyoko. Cheki hata maeneo waliyokaa hawajajenga shule zaidi ya misikiti ili wapate slaves kirahisi. Yaani Hawa jamaa USA na nato wazidi kuwamiminia njugu na mabomu ya kutosha.
ulisoma historia? wazungu waliwauza wafrica kwa 400 yrs? siwatetei warabu lakini hakuna mzuri kati yao
soma ATLANTIC SLAVE TRADE.
 
ulisoma historia? wazungu waliwauza wafrica kwa 400 yrs? siwatetei warabu lakini hakuna mzuri kati yao
soma ATLANTIC SLAVE TRADE.
Mababu zake 50cent wasingefuzu kwenda USA......... 50 cent labda angezaliwa Afrika akawa Dangote
 
Dah hata wafungwa wetu Tanzania hawanyanyasiki kiasi hicho, sikujua kama kuna hizo ratiba huko Saudia Arabia.
 
Waarabu bado wanayo ile dhana ya enzi za utumwa kwamba mtu mweusi ni mtumwa wao!
Hawa watu siyo wenzetu kabisa japo sisi bado tuna ishi nao huku Afrika na wengine tumewapa madaraka makubwa serikalini,.
Wao waarabu wamewaoa dada zetu ila hawataki kabisa dada zao waolewe na waafrika.
Eti husema kwamba ni aibu kuolewa na mtumwa(mwaafrika)
 
Back
Top Bottom