Mirungi na Bangi sio dawa za kulevya, Mungu aliipanda kwa manufaa ya mwanadamu! Wa kumhoji ni Mungu siyo kutesa watu kwa makosa yasiyo yao

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho!

Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu!

Bangi inaota ,inamea kwa kuwa inambegu hata bila kuipanda inaota ,ukichuma ukashikwq unapigwa jela ! Alieileta ni mungu watumiaji hawana kosa ni kunyanyasa watu bila sababu acha watu wale mboga za kondeni kadiri wanavyoweza
 
Tayari zishakupanda kichwani Jerry upo sawa kweli?

Kichaa kimempanda Jerry (Jerry)
Baada ya kuvuta mneli (Neli)
Sisi tulidhani amerogwa na Jirani
Kumbe mibangi imempanda kichwani
 
Ni mimea asili yenye NGUVU kiroho hasa bangi iliyoharamishwa na baadhi ya mamlaka kwa sababu zao binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hoja usikilizwe
 
Tayari zishakupanda kichwani Jerry upo sawa kweli?

Kichaa kimempanda Jerry (Jerry)
Baada ya kuvuta mneli (Neli)
Sisi tulidhani amerogwa na Jirani
Kumbe mibangi imempanda kichwani
Hiii kitu inafaida nyingi sana kiafya
 
Sana na haipo duniani kimakosa sisi ndio tunashindwa kuitumia
Kuitumia unaijua bange vizuri wewe?

Bange bange bangee imesababisha mi niokoke
Bange bange bangee imenivuruga mi kotekote
Bange bange bangee imesababisha mi niokoke
Bange bange bangee imenivuruga mi kotekote
 
Umeacha tumbaku japo inalimwa hadharani na ina wataalamu wa kilimo chake wakati huo mmea ni sawa na bangi tu. Msibishe tumbaku nayo inalevya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…