Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho!
Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu!
Bangi inaota ,inamea kwa kuwa inambegu hata bila kuipanda inaota ,ukichuma ukashikwq unapigwa jela ! Alieileta ni mungu watumiaji hawana kosa ni kunyanyasa watu bila sababu acha watu wale mboga za kondeni kadiri wanavyoweza