Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Muda huu inaendelea Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro hapa st Peter's Morogoro.

Tamko la kipapa linasomwa kwa kilatini halafu litarudiwa kwa kiswahili.

Sasa linasomwa kwa kiswahili.
 
Kwa wale wanaotaka kuangalia live link hii hapa au waweza check via tumaini tv kwenye Azam kisimbuzi
 
Back
Top Bottom