Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Tupe cv ya msimbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe cv ya msimbe
Hakuna wa kunisumbuaMkuu unauita ugomvi!
Kama ndugu zao wapogoroWaluguru wengi ni Wakatoliki kindaki ndaki.
mkude ataenda wapi sasaAskofu mteule ni Lazarius Msimbe anachukua nafasi ya Telesphori Mkude
Majina kadhaa yanapendekezwaTheoretically (kidhahania) Askofu anateuliwa na Papa lakini practically(kihalisia) anachaguliwa na Nuncio(balozi wa Papa) Kwa msaada wa baraza la maaskofu
Jina linapelekwa Vatican Katika idara ya uinjilishaji ndio wakiafiki Papa anadondoka tu signature
Anasimikwa na Balozi wa papa (Nuncio) ambaye ni Askofu mkuuTafadhali tueleze - anayemsimika ni nani
Ni Kama Rais kustaafu tu, atakuwa na makazi yake na atahudumiwa Kama askofu Na anaweza kufanya kazi zote za kiaskofu akiombwa kufanya hivyo.mkude ataenda wapi sasa
Kifupi anachaguliwa na askofu wake.. huwa anapeleka majina matatu kila baada ya miaka 3Theoretically (kidhahania) Askofu anateuliwa na Papa lakini practically(kihalisia) anachaguliwa na Nuncio(balozi wa Papa) Kwa msaada wa baraza la maaskofu
Jina linapelekwa Vatican Katika idara ya uinjilishaji ndio wakiafiki Papa anadondoka tu signature
Hii inafanyika sikumoja kabla, aliapa jana kwenye masifu ya jioni.Atakula kiapo Cha utii kwa papa na kiapo Cha uaminifu kwa kanisa.
Historia ya ukatoliki ktk milima ya uluguru siijui, nimeshangaa nyomi ya watu tangu jana kumpokea hadi leo kumsimika bishop msimbeWaluguru wengi ni Wakatoliki kindaki ndaki.
Milele amina 🙏Tumsifu Yesu Kristu Wapendwa katika roho na mwili
Hakuna ugomvi wala nini! Sasa mtu anaanzisha kanisa lake, analisajili, na mwisho anajiita Askofu/ Nabii/ Mtume/Takataka gani sijui!!Mkuu unauita ugomvi!
Amestaafumkude ataenda wapi sasa
Unaugomvi na masanjaHakuna ugomvi wala nini! Sasa mtu anaanzisha kanisa lake, analisajili, na mwisho anajiita Askofu/ Nabii/ Mtume/Takataka gani sijhi!!
Ukimuangalia tu kwa nje, unaona kabisa ni mpigaji, mzinzi, mwizi, muuza madawa ya kulevya, chapombe, nk.
Nitakuwepo msimbaziNa sisi Jimbo Katoliki la Dar wa Salaam tuna jambo letu siku ya Jumanne. Nikiripoti kutoka parokia ya Kijich, mimi ni muumini
Tushirikisheni tafadhali - kutakuwa na nini huko?Nitakuwepo msimbazi