Huyu mzee sasa hivi atakuwa anaishi kama digidigi! Use umesawajika hatari, lile bashasha halipo tena! Kwisa habari yake!![]()
Tunamchochea mamako!Wachochezi wa kuni za fitna nyinyi.
Mashavu yamemshuka.Sikujua kama huyu jamaa amekuwa kikongwe gafla kiasi hikiView attachment 3515362
Alitumia codesHivi yule Paroko kwenye mahubiri yake alileta story ya ndoto aliyoota ikamuogopesha sana, alikua anataka kusema nini?
GT msaada tutani
Inatafakarisha sana mkuuMashavu yamemshuka.
Yatakufa kwa msongo wa mawazo! Damu ya mtu siyo mchezo!Mashavu yamemshuka.
Nani huyu mbona yupo kama kigagulaSikujua kama huyu jamaa amekuwa kikongwe gafla kiasi hikiView attachment 3515362
Aisee kakongoloka Siku mbili 2Nani huyu mbona yupo kama kigagula
Ana ukimwi?Aisee kakongoloka Siku mbili 2
Hakutamani kuhubiri kwenye msiba ule hasa ukizingatia kwa maneno yake 'kifo kimetokea wakati huu'.Hivi yule Paroko kwenye mahubiri yake alileta story ya ndoto aliyoota ikamuogopesha sana, alikua anataka kusema nini?
GT msaada tutani
Amechoka gafla sana , hata kama umri umewnda lakini sio gafla hivyo !Nani huyu mbona yupo kama kigagula