Misa ya kumuaga Jenista Mhagama imenihuzunisha na kunifikirisha mengi

I've never seen him like this
View attachment 3515680
Labda kama ni mgeni, wakongwe tumewahi kumuona akiwa zaidi ya hivyo na Hadi akaanguka kabisa pale jangwani. Kama haitoshi, 2015 wakati wa kikao Cha kamati kuu,cmlikuja na picha yake hivi hivi mkisema amechoka...........keshokutwa yake alikuwa jangwani pale kwenye ufunguzi wa kampeni akimkaribisha magufuli kwa bashasha tele na hamkuamini. Anaitwa JK huyo, Hana baya na mtu ila watu ndo wenye baya nae.
 
Yule dogo aliyepewa Maiki aongee Kama mtoto wa Marehemu .

Kwa haraka haraka unaona jambo Fulani .

Najua walikuepo wazungumzaji ambao ni watoto wa marehemu ambao wangeongea vzr

Ila kupewa maiki zinazoambatana na Ahadi kadhaa ili usiongee ukaharibu , na unaonekana unapiga VITU

Siasa za Africa ni ngumu Sana tena Sana haijalishi upo chama gani
 
Mshana umeeleza kila kitu.Nakubalina na uchambuzi wako
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Tulikuja na picha? Me included?
 
Mawazo na hisia zako usitake kutafuta wa kuwaambukiza huo upuuzi wako
 
Aliandikiwa...
 
Mimi nilichofikiria ni kuwa, wameenda au walitegemea waandaliwe protocally halafa nyumba ya ibada huenda ikagoma kuwa nyenyekea, hivyo wakaona ugumu wa kukataa kwenda ila ikawabidi waende.

Ndugu zangu wa Imani hiyo wakiamua kukutenga na jamii yao, hawakutambui popote na watakuchukulia kama muumini au mgeni tu' sasa utachagua uwanyenyekee au utunishe msuli wakuaibishe madhabahuni


Ndio maana nilisema ambaye hakuelewa mahubiri ya kuhani kuhusu unyenyekevu na sifa alizokuwa akipewa mwenda zake kuhusu namna alipokuwa akishiriki ibada kama muumini wa kawaida na siyo kama waziri.

Mtu huyo hata angefungiwa na kuelekezwa mwaka mzima kuhusu KIFO, kiburi,unyenyekevu hawatoweza kuelewa kamwe

JUMATATU NJEMA

Location

Kigali, Rwanda
 
Ndugu zangu wa Imani hiyo wakiamua kukutenga na jamii yao, hawakutambui popote na watakuchukulia kama muumini au mgeni tu' sasa utachagua uwanyenyekee au utunishe msuli wakuaibishe madhabahuni🥺🤔💪🏿
 
Umefungua code moja muhimu sana...Hawamtambui that's why alichukuliwa kama waombolezaji wengine..shikamoo RC😀
 
Sikujua kama huyu jamaa amekuwa kikongwe gafla kiasi hikiView attachment 3515362
Baba fisadi, mama kahaba , mtoto anauza ngada ..HOFU WALIYO NAYO KINA ROSTAM AZIZI KWA DAMU WALIYO MWAGA NI LAZIMA IWE HOFU YA KWELI NA IZIDISHWE ...UWEZI KUUA WAZALENDO MAELFU KAMA RWANDA NA WATANGANYIKA NA DUNIA IKUTAZAME TU ..
 
Baba fisadi, mama kahaba , mtoto anauza ngada ..HOFU WALIYO NAYO KINA ROSTAM AZIZI KWA DAMU WALIYO MWAGA NI LAZIMA IWE HOFU YA KWELI NA IZIDISHWE ...UWEZI KUUA WAZALENDO MAELFU KAMA RWANDA NA WATANGANYIKA NA DUNIA IKUTAZAME TU ..
,🥺🥺🥺🤔😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…