Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Kumbe hujui, Mara baada ya kifo ni hukumu, maombi ya mtu wa duniani hayana nafasi ya kumwamulia njia ya mtu aendako, mtu hujiandalia mwenyewe njia yake
 
Wanaodhihaki wengine wanakoabudu ni wajinga na wapumbavu, tena malofa! Waafrika ni watu wa ajabu sana yaani inawezekana kabisa si binadamu bali ni viumbe vinavyofanana na binadamu.

Mnashindwa kujiuliza hizi dini mnazokwaruana nazo na mwingine kujiona sahihi zaidi ya mwingine, zililetwa kwenu miaka ya 1800's, kila kundi lilileta kwa kadiri ya misingi yao. So kabla ya hapo unataka kusema mababu hawakumjua Mungu wao? Biblia ilikuwepo? Anayesema wengine wanafuata mambo waliyopanga wanadamu je Biblia ni kitabu kilichodondoka toka mbinguni? au vilikusanywa na kukaa vikao na binadamu? Vikao hivyo vikapelekea kukataa maandiko mengine, kwanini aliyekataa ni nani Mungu au binadamu?

Leo hii kila mtu anafsiri Maandiko vile anavyoona inafaa yeye au hadhira yake. Mungu ni Upendo na upendo ni Mungu. Yaani uwe mfuasi wa Hellen, Ruther, Gregory, Gwaji au sijui nani kama huna upendo basi huna Mungu ndani yako.
 
Mnasifia makanisa,lakini watu wakiwa mtaani ni walewale kitabia na mienendo wanafanana tu,huwezi kuwatofautisha japo ibaada zao ni tofauti, sasa umaana wa lipi ni dhehebu sahihi unakosekana.
 
Mnasifia makanisa,lakini watu wakiwa mtaani ni walewale kitabia na mienendo wanafanana tu,huwezi kuwatofautisha japo ibaada zao ni tofauti, sasa umaana wa lipi ni dhehebu sahihi unakosekana.
 
Kanisa katoliki la mitume. Nidhamu inaanzia enzi za kina Petro na Paulo inakuja mpaka kwa hawa wa sasa.

Yale makanisa mengine likishanunuliwa hema na spika mbili tatu, mchungaji akishaenda masomo ya biblia miezi miwili tayari kanisa linaanzishwa!.
 
Kweli kabisa ni misa ya kiutu uzma sana! Kwakweli inatakiwa tujitathmini tukiwa hai kwenye haya madhehebu tuabudiyo
 
Hayo makanisa dizaini ya la Gwajima ndiyo yanayopendwa zaidi na vijana.

Kunani kwenye hizo “huduma za kiroho”?
Overnight pray. Huwa ni nafasi nzuri sana kwa vijana kutekeleza mipango yao.
 
Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu,
Unajuaje kuwa wewe ni mfuasi mzuri wa DINI yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…