Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala[emoji2958][emoji41][emoji848][emoji851]Mzee wetu "belongs to many societies in his faith" Wakatoliki wamekwisha maliza heshima yao kwake, bado tusubiri wale wa "Paris Club" ambao ni lazima "chronologically" Mkulu wetu akapate kuwa ndiye mwana mrithi na kupewa ile pete ya maagano.
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala. Mods lirudisheni jukwaa la dini/imani ili yale yaliyokusudiwa kwa taifa hili, watumishi wa Mungu aliye hai wakapate kuyaweka hadharani.
Wala hutawaona kwenye maombi yaliyotangazwa na shehe wa Dsm,kina Gwajima ni watoza ushuru,sadaka zimekosekana wameona wakimbilie kwenye siasa,nako Wajumbe wamefanya yao.Hebu wacha kulinganisha Kanisa na upumbavu!!
Kusitisha mbio za mwenge mwaka huu: Je, zindiko limekiukwa? Hili linaweza kuigharimu CCM pakubwaMzee wetu "belongs to many societies in his faith" Wakatoliki wamekwisha maliza heshima yao kwake, bado tusubiri wale wa "Paris Club" ambao ni lazima "chronologically" Mkulu wetu akapate kuwa ndiye mwana mrithi na kupewa ile pete ya maagano.
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala. Mods lirudisheni jukwaa la dini/imani ili yale yaliyokusudiwa kwa taifa hili, watumishi wa Mungu aliye hai wakapate kuyaweka hadharani.
Naomba ufafanuzi nyie watu wa imani ileIle zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala[emoji2958][emoji41][emoji848][emoji851]
Jr[emoji769]
Aisee!Mzee wetu "belongs to many societies in his faith" Wakatoliki wamekwisha maliza heshima yao kwake, bado tusubiri wale wa "Paris Club" ambao ni lazima "chronologically" Mkulu wetu akapate kuwa ndiye mwana mrithi na kupewa ile pete ya maagano.
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala. Mods lirudisheni jukwaa la dini/imani ili yale yaliyokusudiwa kwa taifa hili, watumishi wa Mungu aliye hai wakapate kuyaweka hadharani.
Kwamba mzee alikuwa mjezi huru sio ?!Mzee wetu "belongs to many societies in his faith" Wakatoliki wamekwisha maliza heshima yao kwake, bado tusubiri wale wa "Paris Club" ambao ni lazima "chronologically" Mkulu wetu akapate kuwa ndiye mwana mrithi na kupewa ile pete ya maagano.
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala. Mods lirudisheni jukwaa la dini/imani ili yale yaliyokusudiwa kwa taifa hili, watumishi wa Mungu aliye hai wakapate kuyaweka hadharani.
Kwaiyo Gwajima mlalamishi?Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ulitaka wafanane? Umeshatofautisha huduma zao sasa unataka wafanane vipi? Au umevutiwa na kanzu na lugha ya upole? Unataka hao wengine watoe pepo kwa kubembeleza? Hata Yesu hakufanya hivyo. Ni mitazamo tu.Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kwani kulikuwa na lipi jipya? Au vile wanavyosoma maandiko kwa kuvuuuta!! ndo kumekufanya upende? Somo la Mfalme Suleiman mbona liko wazi sana labda km wewe ndo ilikuwa mara yako ya kwanza kulisikia.Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Acha ubishi,huwezi linganisha Katoliki na hao wacheza porn kina Gwajima.Ulitaka wafanane? Umeshatofautisha huduma zao sasa unataka wafanane vipi? Au umevutiwa na kanzu na lugha ya upole? Unataka hao wengine watoe pepo kwa kubembeleza? Hata Yesu hakufanya hivyo. Ni mitazamo tu.
Wewe umesema!Acha ubishi,huwezi linganisha Katoliki na hao wacheza porn kina Gwajima.
Hilo ndio Kanisa moja Katoliki la Mitume.Kwani kulikuwa na lipi jipya? Au vile wanavyosoma maandiko kwa kuvuuuta!! ndo kumekufanya upende? Somo la Mfalme Suleiman mbona liko wazi sana labda km wewe ndo ilikuwa mara yako ya kwanza kulisikia.
Yesu alipayuka? Maisha ya ukristo ni zaidi ya utoaji mapepoUlitaka wafanane? Umeshatofautisha huduma zao sasa unataka wafanane vipi? Au umevutiwa na kanzu na lugha ya upole? Unataka hao wengine watoe pepo kwa kubembeleza? Hata Yesu hakufanya hivyo. Ni mitazamo tu.
Kanisa linapimwa kwa kutumia nini mkuu?Katoliki sio kanisa la mchezomchezo