jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Nchi mbili..Tanganyika iko wapi..kama kwanza wao wanachangia kiasi gani kwenye bajeti ya muungano..pili kama walishindwa deni la tanesko wanaweza vipi kurudisha hii mikopo...hawa kupe.Hata kama ni nchi mbili zilizoungana ni vyema mgao ukazingatia idadi ya watu na umuhimu wa miradi.
On top of that kila mtu alipe accordingly.
Kiasi ulichochukua ndio unapaswa kukirejesha.
Otherwise hii trend ya kupeleka tu mahela huko its quite unfair to Tanganyikan's.
#MaendeleoHayanaChama