Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

Hata kama ni nchi mbili zilizoungana ni vyema mgao ukazingatia idadi ya watu na umuhimu wa miradi.

On top of that kila mtu alipe accordingly.

Kiasi ulichochukua ndio unapaswa kukirejesha.

Otherwise hii trend ya kupeleka tu mahela huko its quite unfair to Tanganyikan's.
Nchi mbili..Tanganyika iko wapi..kama kwanza wao wanachangia kiasi gani kwenye bajeti ya muungano..pili kama walishindwa deni la tanesko wanaweza vipi kurudisha hii mikopo...hawa kupe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna haja ya kuwepo na bunge la Tanganyika, kama ilivyo baraza la mapinduzi Zazibar

Sijui uoga wa nini ! Huto tuvisiwa ni twakuachana nato !!! Watafika wapi land mass ndogo kama ile ? Just goole setlite image yaani very tiny ! Hata wachukuliwe na wazungu ama waarabu there isnt much they can do as compared to Tanganyika. We are more resourceful than them ! Ni kuamua tu kama marehemu Mtikila alivyokua anasema miaka ile ! Tuachane nao tuuu ! Tena huku bara wako wengi tuwaswage warudi kwao wakabanane huko ! Ala !
 
yaani ukiangalia hiyo ramani mpaka unasikia kichefuchefu...eti nchi mbili zilizoungana
 
Kama mliona zazibar is insignificant has no right to get equal share why did you go for it en make a union?
 
Ni bora nisiwe na akili kuliko huu uongo unaoitwa muungano
Singapore ni nchi ndogo kuzidi hata Zanzibar lakini ina maendeleo makubwa mara mia kidogo kuzidi Tanzania.

Zanzibar inabidi iwe na malengo ya kuwa singapore ya Africa na ni suala la kupata stahiki yake katika misaada inayopewa Tanzania nayo iwe inapewa nusu

1645265678760.png
 
View attachment 2123875

ndivyo inavyotakiwa.

kuna fununu Ndungai alikuwa anachukia anapoona misaada na mikopo asilimia kama 300 inaenda Zanzibar, ule ulikuwa ni mwanzo tu, kwa sasa inabidi mambo yawe pasu kwa pasu, naamini spika mpya atatii na kumhshimu raisi ambaye yupo kwa maslahi ya Tanzania.

N i mwendo wa pasu kwa pasu kuanzia sasa.

kuna msaada wa trilioni 1.15, hizo zipigwe pasu kwa pasu nazo.
Kama mnataka pasu KWa pasu ya pesa ,basi na Mambo mengine twende pasu KWa pasu

Mfano,ardhi na fulsa zingine twende pasu KWa pasu, vinginevyo KILA mtu akae kivyake, TANGANYIKA imekua koloni la Zanzimbar
 
Nani alikwambia hizi ni nchi mbili?? Nchi nyingine inaitwaje iliyoungana na hiyo Zanzibar??

Kwa hakika taratibu tunaanza kuelewana!!
 
Mmeanza kugombea misaada, mnafurahia kuwa ombaomba.!

Japo sitetei misaada wala Muungano, ila Mwinyi naye si anaombaomba huko.?
 
Mimi naona maswala ya muungano yasipo shughulikiwa tukiwa masikini kama taifa... Tutakuja kujuta...... wasiopenda tufanikiwe au wanaotaka kutucontain watatumia mwanya huu kututenganisha.......
Angalia china na hongkong, macau, taiwani....... Ndio utaelewa nachokisema sasa hivi
 
Back
Top Bottom