Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

Waka
Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini Ubelgiji.

Zanzibar na Tanganyika zinaunda Tanzania.....pasu kwa pasu ndio mpango..Meli pasu kwa pasu, Ndege pasu kwa pasu, pesa za sherehe za muumgano pasu kwa pasu, kuna uke mkopo flani hapo nyuma Zanibar ilipewa bilioni 250 tu kati ya 700 hivi, hii haikuwa sawa, sasa tunaenda kuweka mambo sawa kwa hii trilioni kupigwa pasu kwa pasu.

Spika bora kuwahi kutokea Tanzania Spika Tulia, ambae bado ni kijana mwenye nguvu na mwenye akili ya kufanya critical thinking tuma hakika ni mzalendo, hana ukafi, hili litapita tu vizuri kabisa 😋😋😋

Mtu anaekosoa muungano anamkosoa baba wa taifa Nyerere, chunga sana kinachotoka kwenye mdomo wako.

Muungano utakindwa
ti mwingine muwe mnatumia akili, inawezekana vipi kwa mfano chakula cha watu wawili kikagawia sawa na chakula cha watu 50? na kama ni hivyo basi hata kulipa hiyo mikopo tulipe nusu kwa nusu halafu ndio tuuone huo usawa.
 
Koloni kwani Zanzibar Ina jeshi lake la kivamizi huko Tanganyika??
Sasa Kama ni nchi MOJA, vipi nyie wazanzibar, ruksa miliki aridhi bara, mwaja bara bila bugudha yoyote,mwaajiliwa bara bila shida, je Mtanganyika haweza FANYA hivyo Zanzibar, Muungano wa kinafiki TANGANYIKA hatutaki tena, WENDA hata deni la taifa haliwahusu,

Sasa Kati ya Zanzibar na TANGANYIKA nani koloni la mwenzie?
 
Kumbuka ya kwamba Wazanzibari washapigana sana na wanaendelea kupigania wawe nchi yao bila muungano, Tanganyika ndio inayoutaka muungano zaidi sana mara 10 kuliko Zanzibar.

Hayo mambo yote ya ardhi, ajira, n.k ni yeye mwenyewe Nyerere aliyapigania yawepo, yeye ndie aliefanya jitihada kubwa sana kiasi kwamba akawa tayari kufuta jina la Tanganyika ili kuwe na Tanzania huku Zanzibar ikiendelea kuwa na serikali yake na serikali ya pili ya Muungano.

Tanganyika ndio yenye final say ya huu muungano, Siku Tanganyika ikiamua muungano uishe basi utaisha papo hapo, Haya mambo ya ardhi na ajira usidhani aliweka Zanzibari, ni watanganyika.
 
Nimekuelewa mkuu, Nasi twasema enzi za Nyerere na Karume zimeisha, Tunataka TANGANYIKA yetu, ukiwepo Muungano Basi tukubaliane uwe katika Mazingira yapi,

Sioni TANGANYIKA twanufaika vipi na huu Muungano may be upande wa salama ,Jambo ambalo ilikua ni woga wa mwalim Nyerere bahada ya kupata uhuru, KWa sasa Iyo hofu hamna,ZANZIBAR iwe taifa Kama taifa lingine ndani ya Afrika Mashariki,

Inakuaje Mtanganyika ingia Zanzibar Kama mkimbizi wakati nchi MOJA ?
 
Sasa Kama ni nchi MOJA, vipi nyie wazanzibar, ruksa miliki aridhi bara, mwaja bara bila bugudha yoyote,mwaajiliwa bara bila shida, je Mtanganyika haweza FANYA hivyo Zanzibar, Muungano wa kinafiki TANGANYIKA hatutaki tena, WENDA hata deni la taifa haliwahusu,

Sasa Kati ya Zanzibar na TANGANYIKA nani koloni la mwenzie?
Ndiyo utumie akili kuwa iliyovamiwa ni Zanzibar. Mnapigwa michanga ya macho Na kulishwa matango pori
 
Hapo wanaong’ang’ania muungano ni Bara
Sasa tuwape tu hata 75% na sisi 25

Au Mwinyi nae azunguke na bakuli na hata akiweza awaombe China watanue visiwa kwa ajili ya makazi na viwanda, maana mchina kutengeneza kisiwa ni kama nyie kujenga zizi la ng’ombe [emoji3]
 
Back
Top Bottom