mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Waka
ti mwingine muwe mnatumia akili, inawezekana vipi kwa mfano chakula cha watu wawili kikagawia sawa na chakula cha watu 50? na kama ni hivyo basi hata kulipa hiyo mikopo tulipe nusu kwa nusu halafu ndio tuuone huo usawa.Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini Ubelgiji.
Zanzibar na Tanganyika zinaunda Tanzania.....pasu kwa pasu ndio mpango..Meli pasu kwa pasu, Ndege pasu kwa pasu, pesa za sherehe za muumgano pasu kwa pasu, kuna uke mkopo flani hapo nyuma Zanibar ilipewa bilioni 250 tu kati ya 700 hivi, hii haikuwa sawa, sasa tunaenda kuweka mambo sawa kwa hii trilioni kupigwa pasu kwa pasu.
Spika bora kuwahi kutokea Tanzania Spika Tulia, ambae bado ni kijana mwenye nguvu na mwenye akili ya kufanya critical thinking tuma hakika ni mzalendo, hana ukafi, hili litapita tu vizuri kabisa 😋😋😋
Mtu anaekosoa muungano anamkosoa baba wa taifa Nyerere, chunga sana kinachotoka kwenye mdomo wako.
Muungano utakindwa