Misaada keyboard ya laptop herufi I na backspace zimeacha kufanya kazi

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,455
Reaction score
1,621
Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
 
Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.

Jaribu kuzipachua, huenda kuna uchafu au kitu kilichojipenyeza chini ya vitufe hivyo kiasi cha kuzuia mkandamizo...
 
Bila shaka ni dell,hp au lenovo
Inaweza kuwa ni tatizo la hardware(Uchafu kama vumbi) au Software(Virus) mara nyingi tatizo ili haliponi mpaka ubadili ketboard
 
Sasa mkuu msaada gan tena unahitaji laptop mbovu hiyo, toa keypads badilisha mpyaa... simple...au nunua vi smart external keyboard umemaliza...
Shida kujipa tqbu yote ya nini kupachuq pachua tu "key" kama fund pc bwana..acha hizo bas

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…