Misaada ya kidhalilishaji kama ya kujenga choo nitaipiga marufuku

Misaada ya kidhalilishaji kama ya kujenga choo nitaipiga marufuku

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Bibafsi hamna jambo ambalo linanikera sana kama nchi kuona eti tunapewa mikataba ya kujenga

Naamini ujenzi wa vyoo sehemu yeyote ndani ya nchi iwe ni mashuleni au mahali popote pale sio jambo lililotushinda kama nchi

NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAPIGA MARUFUKU MIKATABA YA KIDHALALISHAJI KAMA IFUATAYO
  1. Kujengewa vyoo
  2. Mabinti kupewa taulo
Naamini miradi niliyoitaja hapo juu kama nchi tunaimudu
 
Bro na Rais wangu.

Unatakiwa uanzie sehem yoyote.

Siasa lazima uwe na chama cha siasa.
Ila Kama huna . Kianzishe.
 
Bro na Rais wangu.

Unatakiwa uanzie sehem yoyote.

Siasa lazima uwe na chama cha siasa.
Ila Kama huna . Kianzishe.
 
Back
Top Bottom