Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa!
Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite!
Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana na haifai ! Kwanini kutoka ikulu kwenda airport asitumie helicopter ?