Wanaomzunguka wanafaidika kwa mfumo huoHata akitumia uber mbona atafika salama tu.Mama asivyo na makuu boda2 zikiwa 6 na uber 1itakuwa good tu.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake,tuwaache walepoSema ni matumizi mabaya ya pesa ila wakati mwingine ni sawa wacha watu wajipatie mshahara na posho.
Kipindi iko najoin misafara ya viongozi zile speed unasikia vibe tuu kwa gari
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake,tuwaache walepo
Chopa ndiyo mpango mzima,ila watashindwa kupata poshoWasiwazuie wengine nao wanaotaka kula kwa urefu wa kamba zao ndio maana mleta uzi anasema zitumike chopa ila watu wasisimamishiwe shughuli zao muda mrefu.
Kazi iendelee mama anaupiga mwingi sana acha akazindue bandari bagamoyoNiko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.
Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii?
Kipimo cha dhahabu ni moto, kipimo cha mwanadamu ni shida.Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.
Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii?
Utahitaji Chopa si chini ya kumi kuhakikisha rais anakuwa covered sawa sawa! Bado tuna kumbuka kilichotokea kwa marais wa Rwanda na Burundi wakati wa vurugu za kikabila.Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii
Haaahaaa!!Wanaomzunguka wanafaidika kwa mfumo huo
hio ni upande wa muda tu. gharama halisi ya misafara utadwaaNiko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.
Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii?
nakubaliana na weweKila gari inakuwa na watu 4.
Njia za ulinzi/ usalama wa Rais zipo nyingi tu sio mpaka mbwembwe za misafara mirefu.
Nimatumizi mabaya ya rasilimali ya Nchi.
why africa?Utahitaji Chopa si chini ya kumi kuhakikisha rais anakuwa covered sawa sawa! Bado tuna kumbuka kilichotokea kwa marais wa Rwanda na Burundi wakati wa vurugu za kikabila.
Hata hivyo, siungi mkono msafara mrefu namna hiyo kama unatumiwa mara nyingi kwa mwezi katika eneo moja.
Sina comment juu ya swali lako hili murua.why africa?
Mimi nimekuelewa kwenye madai yako. Lakini nilipofikiria kwa nchi zingine nje ya Bara la afrika ndio maana nikaulizašSina comment juu ya swali lako hili murua.