Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ni Ujinga Sana Mkuu, Hivi Unakaaje Zaidi ya Masaa Mawili Anapita Mtu na Mke Wake. Sjui Huu Upuuzi Utaishi Lini Wallah [emoji19][emoji19][emoji19]Mkuu hujui hiyo misafara ni miongoni mwa kiki?
It is absurdity, kufunga barabara kwa muda mrefu kama huo, wakati hata kiongozi mwenyewe hajaamka. Mi nadhani isizidi nusu SAA na ifungwe tu pale musafara wake unapokaribia. Siyo MTU yuko morogoro nyie mmeshafunga barabara mzima kuanzia Mlandizi Mpaka Morogoro [emoji19][emoji19]Huwa inaboa sana hiyo misafara, mtu anaenda safari ndefu kama ya Kigoma bado akifika njiani akikuta msafara anaongezewa saa mbili za kusimama njiani kupisha msafara wa mtu anayeenda hapa na hapo tu sio fair.
Yaani Hapa Mkuu Nina Hasira Aiseeeeh [emoji21][emoji21][emoji21]nachukia hiyooo misafara isiyo kuwa na tija
Kuna watu wanapenda kujipa umuhimu ambao hawana.Wakuu niko njiani nasafiri na bus la Shabiby kuelekea Dodoma, tumesimamishwa hapa eneo la ubena kupisha msafara wa kiongozi wa serikali zaidi ya masaa mawili sasa tumesimamishwa.
Je, ni halali watu kusimama hivi barabarani muda mrefu bila huruma kisa mtu mmoja anapita kuelekea Dar? kwa nini viongozi wa serikali wanakuwa hivi wakuu. Kimsingi nimechukia sana.
Kinachosikitisha wanakuzuia wewe ambae inawezekana unaenda kutafuta kodi inayolipia mafuta ya hayo ma VX yao!It is absurdity, kufunga barabara kwa muda mrefu kama huo, wakati hata kiongozi mwenyewe hajaamka. Mi nadhani isizidi nusu SAA na ifungwe tu pale musafara wake unapokaribia. Siyo MTU yuko morogoro nyie mmeshafunga barabara mzima kuanzia Mlandizi Mpaka Morogoro [emoji19][emoji19]
Aisee!Sitasahau Kuna mwaka tulikamatwa kwa kosa la kuingilia msafara wa mtoto wa rais (Ridhiwan Kikwete).
Kipindi hicho hata ubunge hana.
Suala hili pia liwemo kwenye marekebisho ya katiba!Wakuu niko njiani nasafiri na bus la Shabiby kuelekea Dodoma, tumesimamishwa hapa eneo la ubena kupisha msafara wa kiongozi wa serikali zaidi ya masaa mawili sasa tumesimamishwa.
Je, ni halali watu kusimama hivi barabarani muda mrefu bila huruma kisa mtu mmoja anapita kuelekea Dar? kwa nini viongozi wa serikali wanakuwa hivi wakuu. Kimsingi nimechukia sana.
Kama Ulikuwepo Mkuu, Naenda Dodoma Kuangalia mavuno Ya Alizeti na Kuanza Kukamua Mafuta Kwa ajili Ya Kufanya Biashara. Wamenikasilisha Sana Hawa WashenziKinachosikitisha wanakuzuia wewe ambae inawezekana unaenda kutafuta kodi inayolipia mafuta ya hayo ma VX yao!
Mbona alipokuja BUSH na Obama si barabara tu bali hata simu zilizimwa kwa kipindi kirefu tu na hamkulalamika?? Ama kwa sababu huyu ni mweusi mwenzetu?Angalia motorcade ya waziri mkuu wa uingereza: magari maatatu tu ukichanganya na lile la polisi.
Wakuu niko njiani nasafiri na bus la Shabiby kuelekea Dodoma, tumesimamishwa hapa eneo la ubena kupisha msafara wa kiongozi wa serikali zaidi ya masaa mawili sasa tumesimamishwa.
Je, ni halali watu kusimama hivi barabarani muda mrefu bila huruma kisa mtu mmoja anapita kuelekea Dar? kwa nini viongozi wa serikali wanakuwa hivi wakuu. Kimsingi nimechukia sana.
Hivi wewe unajua kuwa ikifungwa Nyerere road unapata option njia nyingine? Tena inajulikana kabisa siku fulani anakuja watafunga njia. Sasa unaenda Morogoro njia imefungwa uko katikati kuna njia mbadala utachepuka?Mbona alipokuja BUSH na Obama si barabara tu bali hata simu zilizimwa kwa kipindi kirefu tu na hamkulalamika?? Ama kwa sababu huyu ni mweusi mwenzetu?