Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Haya Sio Ya Katiba Mpya Kaka, Mambo Mengine Ni Marekebisho Ya Sheria inayowapa.Hawa Viongozi Wakuu KupishwaTuliwaambia linchi lenu Hilo linahitaji Katiba mpya hamuelewi , idiots !
Dah! Mshikaji kala sana nchi kipindi cha utawala wa mzee wake.Aisee!
Lakini si wanapita kasi tabu iko wapi?Wangejuwa wamepanda bulldozer nami ningemaindiNi Ujinga Sana Mkuu, Hivi Unakaaje Zaidi ya Masaa Mawili Anapita Mtu na Mke Wake. Sjui Huu Upuuzi Utaishi Lini Wallah [emoji19][emoji19][emoji19]
Mimi sikubaliani na yote hayo bali sitaki double standard kabisa wakati ule niltembea kwa miguu kutoka Posta hadi Kenyata Drive pale mbele ya Salender ndipo nikapata option ya Bodaboda, yaani jiji lilisimama bila sababu yoyote ile. Mimi ndo napinga hilo na hili la sasaHivi wewe unajua kuwa ikifungwa Nyerere road unapata option njia nyingine? Tena inajulikana kabisa siku fulani anakuja watafunga njia. Sasa unaenda Morogoro njia imefungwa uko katikati kuna njia mbadala utachepuka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii misafara aisee acha tu kuna siku nilipewa adhabu ya kimya kimya ila nilishika adabu,kulikuwa na msafara nikaegesha garimsafara upite nikaanza kuufukuzia nyuma kwa kasi ili niepuke jam za barabara kwa advantage ya huo msafara kufika kama kilometa moja gari lililokuwa mwisho wa msafara likakaa pembeni kidogo likapunguza mwendo kabisa nikalipita akaanza kunifuata nyuma kwa spidi ya hatari nikajua kimewaka nikiwasha indicator ananibana nisikate ikabidi ninyooshe nao wanapokwenda nilitokea moshi nikapelekwa hadi karibia na makuyuni mafuta yakaniishia na mie nilikuwa naishia bomang'ombe ,jamaa wakajua adhabu inanitosha baada ya kuona gari kama inamiss miss wakajua ni wese hilo limekata ndiyo wakanipita ,sitakaa nisahau lile tukio maisha