Misalaba wavaayo watu maarufu akina Diamond, Masanja na wengineo

Haya matakataka ya kuvaa shingoni binafsi yalinishinda aisee!!

Rozari tu inanitosha.


Ndio maana huko nyuma nilisema, wazungu na waarabu wametuharibia historia ya Afrika. Yaani unaita kitu usichokijua ni takataka, kwa vile mzungu kakuletea rozari?
 
Huo sio msalaba mkuu
Hakuna msalaba ambao uko hivyo
Chukulia kama urembo tu
 
Rozari nayo ni takataka tatizo unajifanya kipofu.
Wake up.
Kwa sisi wakatoliki rozari ni kifaa cha kuhesabia mafungu ya sala tu
Hakina maana nyingine na ule ulio chini pale ndio msalaba unavyotakiwa kuwa sio kama hizo walizovaa hao wahuni
 
The Ankh is one of the most recognizable symbols from ancient Egypt, known as "the key of life" or the "cross of life", and dating from the Early Dynastic Period (c. 3150 - 2613 BCE). It is a cross with a loop at the top sometimes ornamented with symbols or decorative flourishes but most often simply a plain gold cross. The symbol is an Egyptian hieroglyph for "life" or "breath of life" (`nh = ankh) and, as the Egyptians believed that one's earthly journey was only part of an eternal life, the ankh symbolizes both mortal existence and the afterlife. It is one of the most ancient symbols of Egypt, often seen with the djed and was symbols, carried by a multitude of the Egyptian gods in tomb paintings and inscriptions and worn by Egyptians as an amulet.











Nimeona hivyo huko google street. Hizo za dhahabu tupu zilipatikana wakati wa utafiti ardhini ndani ya pyramids huko Egypt. Nahisi wanafahamu wanavaa
 

Attachments

  • 23775061223_cecf44ebc4_b.jpg
    94.1 KB · Views: 32
wasipoelewa na hapa basi tumuite Juma Nyoso aje kuwaelewesha.....
 
Kwa sisi wakatoliki rozari ni kifaa cha kuhesabia mafungu ya sala tu
Hakina maana nyingine na ule ulio chini pale ndio msalaba unavyotakiwa kuwa sio kama hizo walizovaa hao wahuni
Msalaba ni ishara ya devilish practices...
Kama hujui originally ilitumika kama namna ya kusherehekea mafanikio ya kumuua mtu aliyejiita masihi.
Furthermore ukatoliki ni UPAGANI!
 
Msalaba ni ishara ya devilish practices...
Kama hujui originally ilitumika kama namna ya kusherehekea mafanikio ya kumuua mtu aliyejiita masihi.
Furthermore ukatoliki ni UPAGANI!


You're out of topic. And I'm sure you have no idea about paganism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…