Misalaba wavaayo watu maarufu akina Diamond, Masanja na wengineo

Msalaba ni ishara ya devilish practices...
Kama hujui originally ilitumika kama namna ya kusherehekea mafanikio ya kumuua mtu aliyejiita masihi.
Furthermore ukatoliki ni UPAGANI!
Msalaba ni ishara ya devilish practices...
Kama hujui originally ilitumika kama namna ya kusherehekea mafanikio ya kumuua mtu aliyejiita masihi.
Furthermore ukatoliki ni UPAGANI
Then so what???
 
msalaba Kwa wapinga Kristo ni ishara ya kusherekea kumuua yesu na msalaba huohuo Kwa wakristo wanautumia kama ishara ya ukombozi msalabani
 
msalaba Kwa wapinga Kristo ni ishara ya kusherekea kumuua yesu na msalaba huohuo Kwa wakristo wanautumia kama ishara ya ukombozi msalabani
 
Msalaba uko wapi hapo?? Msalaba umekaa kama alama ya jumlisha (+). Sasa huoni hio CHENI iko na duara kwa juu??
 
Chimbuko ya hii misaraba ni misri huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…