Misamiati itumikayo vyuoni


Hiyo EXILE naifananisha na kitu moja pale BUCHS sasa CUHAS "KUADMIT" wakimaanisha kuvuta demu na kulala nae ucku kucha.
EXILE NI PALE KUSHARE VYUMBA KULIPOANZA SASA MMOJA WENU AKIPATA MWENZA!! THEN TH REST MNAONDOKA AMA KUPI STORY VYUMBA VINGINE AMA LIBRARY NDO EXILE NA MAARUFU ILIKUWA HALL V!!!!!
 
JE KCC? - demu cheap ambaye si mwanachuo yeye kudate msomi wa mlimani ni tija!!
iINFANTRIA- Demumwanafunzi akiwa na booyfriend wake naye mwanafunzi basi huyo mwanafunzi wa kiume kwa girlfriend wake ni Infantria maana askali wa miguu mpiganaji= kutafuta madesa kumfanyia assignments n.k
Je wewe uliwahi kuwa infantria!!!!!
 
Jembe----mkali wa shule i.e yupo vizuri kwa somo flani au hata masomo yote so anawasaidia wenzangu na mimi
kamati----kwenye pepa hukaa watu kama 5 hivi...."jembe" hukaa mkao fulani wa kuwapiga tough wanakamati wenzake...issue ikistukiwa jembe linahamishwa nomaaaaa
 
First Degree by Thesis ===Binti aliyefungasha ushuzi
First Degree by coursework= Binti mwenye umbo namba 8
We kitopu Kitopu ====== ki****to......mba punda njoo
Exile ....................jamaa amewafungia nje ya chumba, wanagegedana na mwenyie
Familia Bora ..........hili ni kundi la vijana (wanaosoma pamoja na wenye lengo la kubebana ktk masomo), lilikuwa likikaa pamoja wakati wa mitihani
 
matango pori/sumu-----madesa ya uongo....
kutoboa------kupiga book usiku kucha hii hata secondari ipo na ndo kwa sana
Kushikwa------supplimentary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…